Ijumaa, 18 Machi 2016

IDARA YA UHAMIAJI NCHINI YAWAHAMISHA MAOFISA WAKE



Timothy Marko.
JESHI la polisi idara ya uhamiaji nchini limefanya Mabadiliko ya maofisa wake kwakuwawahamisha katika vituo vyao vya kazi ilikuweza kuboresha idara ya uhamiaji nchini .

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Naibu Kaimishina waidara hiyo MUSSA irovya amesema kuwa uhamisho wa maofisa hao unajumuisha Mkuu wa upelelezi wa idara hiyo DCI Faustine Sixtus Nyaki wa mkoa wairinga ambaye amepewa uhamisho nakubelekwa mkoani mwanza,mwingine alipewa uhamisho DCI wamkoa wamwanza Remigus Ibrahim.

‘’Afisa huyu Remigus Ibrahimu anakuwa Afisa Mfawidhi wa ofisi ya uhamiaji katika uwanja wandege wakimataifa wa JNIA uliopo jijini Dar es salaam,pia idara yauhamiaji ina mhamisha DCI Rose Alex wa mkoa waNjombe na kuwa afisa afisa mkoa Mtwara ‘’Alisema Kaimu Kamishina Mussa IROVYA .

KAMISHINA irovya alisema kuwa wengine wanao hamishwa katika vituo vyao vyakazi nipamoja na DCI Charles Washima Habe ambaye alikuwa afisa mpelelezi wa idara hiyo nakupeleka wilaya ya GEITA .

ALISEMA kuwa Idara hiyo inamuhamisha DCI ASSA Mwasansu kutoka kitengo cha Hati za ukaazi na kuwa afisa uhamiaji wa mkoa wa pwani
 .
‘’Wengine wanahamishwa nipamoja na Afisa uhamiaji ilala Naibu kamishina safina Shabani nakuwa afisa uhamiaji mkoa wa Morogoro ,Willfred Marwa ambaye alikuwa Naibu afisa uhamiaji wa mkoa waTanga nakuhamishwa kuwa afisa uhamiaji mkoa wa geita ‘’Aliongeza Naibu Kaimishina Irovya .

Irovya aliongeza kuwa DCI evaristMlay wa wilaya kinondoni nakuhamia same wakati huo huo Pilly zuberi aliyekuwa afisa wa passpoti anahamishwa kuwa afisa uhamiaji Ilala .
Aliongeza kuwa DCI George Goda kutoka kitengo cha Hati za ukaazi makao makuu anahamishwa nakuwa afisa uhamiaji wilayani Temeke .

‘’DCI Jafari kisesa aliyekuwa afisa uhamiaji wilayani Temeke amehamishwa nakuwa naibu kamishina Mkoa watanga,wakati huo huo JUlieth SAGAMIKO Amehamishwa uwanja wandege wa KIA nakuwa mfawidhi wa kituo ‘’Alisisitiza 

WAKATI huohuo alimtaja Afisa uhamiaji wamkoa kagera Hosea Alphonce amehamishwa kuwa mfawidhi wa kituo chauhamiaji Cha Holili .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni