Timothy Marko .
WASTANI Wa
bei ya mauzo yahisa katika kipindi cha mwaka 2014-2015 umeweza kufikia shilingili bilioni
50ikilinganishwa nakipindi cha mwaka 2011 ambapo zaidi ya shilingi bilioni252
ziliweza kuwekekezwa katika soko la hisa la Dar es salaam (DSE).
Meneja Fedha soko la Hisa Dar es salaam DSE IBRAHIMU MSHINDO akitoa ufafanuzi kuhusiana namwenendo wa soko la mitaji katika soko la hisa Dares salaam mapema hii leo |
Akizungumza
na waandishi wa Habari Meneja Fedha wa soko hilo Ibrahimu Mshindo amesemakuwa
wastani wamauzo hayo yahisa kumetokana na kuongezeka kwa thamani ya mauzo ya
hisa za makampuni zinazo uzwa na soko hilo la mitaji .
‘’KATIKA
kipindi cha Mwaka 2012hadi mwaka jana wastani wa dhamana iliweza kufikia
shilingi bilioni 5O ikilinganishwa nakipindi cha mwaka 2011 ambapo wastani
shilingi bilioni252 ziliweza kuwekezwa ‘’Alisema Meneja Fedha Ibrahimu Mshindo.
.
Meneja
MSHINDO alisema kuwa katika kipindi cha mwaka 2014 zaidi shilingi bilioni 2,382
ziliweza kuwekezwa ambapo jumla shilingi trioni moja ziliweza kuwekezwa
katika kipindi cha mwaka jana .
Alisema kuwa
ongezeko hilo nizaidi yamara nne ambapo zaidi shilingi bilioni 50ziliweza
kuwekezwa katika kipindi cha mwaka 2011ambapo zaidi yashilingi trionimoja
ziliweza kupatikana katika kipindi cha mwaka jana .
‘’Ongezeko
hili limechangiwa na baadhi yamakampuni kuongezeka nakukuza ufaninisi wa
makampuni hayo katika soko baada ya makampuni kuongeza ubora wake kwa kutumia
tekinolojia katika kupunguza muda
wakutoa huduma ‘’Aliongeza Mshindo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni