Timothy Marko.
KIWANGO cha
Uuzwaji wa hisa katika soko lahisa la Dar es salaam (DSE)kimeongezeka kutoka
shilingi bilioni 13 .8 nakufikia shilingi trioni moja kwakipindi cha mwezi January Hadi DESEMBA mwaka huu.
Akizungumza
na waandishi wahabari jijini Meneja Mauzo na naBiashara wa soko la hisa la Dar
es salaam DSE Patrick Mususa amesema kuwa ongezeko hilo limetokana na kuwepo
kwa ongezeko la hati fungani pamoja na muamuko mkubwa kwa wa wawekezaji kununua
hisa katika soko hilo .
‘’Ongezeko
hili la ununuzi wahisa limetokana na ongezeko la hati fungani nakuwepo kwa
mwamuko mkubwa kwa baadhi ya wananchi kununua hisa zilizo katika soko hilo la
hisa ‘’Alisema Patrick Mususa .
Meneja Mauzo
Mususa alisema kuwa kuwepo kwa ongezeko lafaida katika hisa zinazo uzwa nasoko
hilo kumeweza kuongeza manunuzi yahisa hali inayochangiwa namwamuko wa ununuzi
wa hisa .
Alisema kuwa
zaidi yawawekezaji watapatao 200000 wamewez a kujinga nasoko hilo
nakuorodheshwa hali inayochangiwa na taasisi hiyo kutumia mbinu zakisasa
ikiwemo za mifumo ya komputa pamoja nasimu kuuza hiza zake .
‘’Tunavyoingia
mwaka mpya kuna teknolojia mpya ikiwemo Smart Phone ilikuweza kujiunga nahuduma
zinazotolewa na nasoko la hisa ‘’Aliongeza Meneja Mauzo MUSUSA .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni