Timothy Marko UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVICCM) umekipongeza Chama hicho Kushinda Kiti cha urais aliyekuwa waziri wa ujenzi Jonh Magufuli baada ya waziri huyo kukipatia ushindi chama hicho baada ya maafikiano ya Baraza la vijana la vyuo vikuu la Chama chama cha mapinduzi kutoa mapendekezo kwa mgombea huyo kuwania kiti cha uraisi nahatimaye kuwa Rais mteuliwa wa jamuhuri ya mungano wa Tanzania.
Akitoa pongezi hizo mbele ya Waandishi wa habari Mapema hii leo jijini Dar es salaam Mwenyekiti Wa umoja huo Zainabu Issa amesema kuwa kutokana namchakato wa uteuzi wa wagombea mbalimbali wakuwania kiti cha urais ambao uliwajumuhisha wagombea zaidi kumi natano wa chama hicho na hatimaye kuwateua wagombea wawili wa kiti cha Urais naumakamu rais Ambapo uliweza kumteuwa Jonh Magufuli na Samia Suluhu kamamakamu wake ulikuwa ni uamuzi usio tia shaka .
''Sisi Vijana wa jumuhia ya vyuo vikuu kutoka chama cha mapinduzi (UVICCM)tuna wapongeza wajumbe wa halimashauri kuu ya CCM (NEC)kuweza kutuletea viongozi makini muadilifu na muwajibikaji tuna shukuru sana kamati kuu ''Alisema Zainabu Issa .
Zanabu Issa alisema kuwa kutokana na mipango madhubuti ya chama hicho katika kuratibu sera chama hicho kimeweza kuratibu sera katika mikoa yake nakuzipeleka kwa wananchi nawanachi kuweza kuzikubali kumeweza kuchangia ushindi wa chama
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni