Jumanne, 25 Agosti 2015

WATU SABA WAFARIKI KWA UGONJWA WAKIPINDUPINDU DAR.

Timothy Marko.WATU saba wamefariki dunia jijini Dar es salaam kutokana namlimpuko wa ugonjwa wakipindu pindu tangu ugonjwa huo kuripotiwa agosti 24mwaka huu ambapo wakaazi hao waliobanika naugonjwa huo walipatika katika wilaya ya Temeke ,ilala na kinondoni .

Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini humo,Waziri wa afya na ustawi wajamii Dk Seif Rashidi amesema kuwa wakaazi waliobanika na ugonjwa huo walipatikana katika wilaya yaKinondoni (186 ) ilala( 22) Wakati wilaya yatemeke walipatikana naugonjwa huo walikuwa ni 22.
''Kambimbalimbali zimetengwa kwajili yakuwa hudumia wagonjwa wakipindu ikiwemo katika maeneo yamburahati,Buguruni na Temeke ,aidha kambi hizi zime wapokea wagonjwa hawa kamaifuatavyo Mburahati 47,BUGURUNI 15,Temeke9,''Alisema Dk Seif Rashid
.
Dk RASHID alisemakuwa idadi yawagonjwa waliopatikana naugonjwa huo walipatikana katika maeneo ya Makumbusho,Kimara,Tandale,Manzese,sara nga,magomeni,Mwanyamala,na kibamba.
Alisema kuwa maeneo mengine nipamoja na kigogo,Goba,MBURAHATI ,Kjitonyama sambamba namaeneo hayo pia waziri wa afya aliyataja maeneo mengine nipamoja na Buguruni ,Majohe ,chanika nailala Sharifu shamba .
''Pamoja na maeneo hayo yajiji niliyoyataja hapo awali katika manispaa yaTEMEKE maeneo yaliyo athirika nakipindupindu ni mtoni kwa aziz ali ,keko pamoja na YOMBO vituka''Aliongeza DK.RASHID .
Dk .RASHID Aliongeza kuwa sambamba nakutoa takwimu hizo pia aliwataka wananchi kuepukana nakusalimiana kwa kushikana mikono hali inayopelekea vimelea vyaugonjwa kusambaa kwa wepesi ,

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni