Timothy Marko.KATIKA kuwawezesha Vijana kiuchumi Jeshi lakujenga taifa limewataka vijana Kote nchini Kujiunga najeshi hilo ilikujipatia Mafunzo maalumuya stadi za maisha yatakayo wakwamua katika hali yaumasikini.
Akizungumza na waandishi wa habari Mapema hiileo, mkoani pwani Mkuu wa mafunzo wa jeshi lakujenga taifa(JKT)Brigadia Jenerali Jacob Kingu amesema kuwa kufuatia kuasitishwa kwamafunzo hayo mwaka 2001na kurejeshwa March 15 mwaka huu jumla yawahitimu 1993 wameweza kujiunga namafaunzo yanayo endeshwa najeshi hilo.
''Kutokana kurejeshwa kwa mafunzo haya kwa vijana,vijana wengi wameweza kujenjengeka kimaadili nakiutendaji ambapo vijana wame weza kujitianyenzo muhimu yakujitegemea kwakupata mafunzo mbalimbali yajiongezea kipato na kuondokana natatizo la ajira pindi wamalizapo mafunzo hayo ''Alisema Brigadia Jenerali Jacob Kingu
.
Brigadia Jenerali Kingu alisemakuwa jumla yavikosi 15100 ambapo kati yao 24 walikuwa niwabunge waliweza kuhitimu mafunzo hayo katika kipindi cha mwakajana ambapo nisawa nasilimia 34.5
Alisemakuwa pamoja nakuwepo kwa mafunzo hayo kwa vijana hao Jeshi hilo limekuwa likikabiliwa na Changamoto za rasmali Fedha juu ya uendeshaji wa mafunzo hayo kufanyika katika hali yaufanisi.
''tumekuwa tukikabiliwa nachangamoto ikiwemo rasmali fedha katika kuendesha mafunzo haya jeshi lakujenga taifa ''Aliongeza Brigadia Jenaral Jacob Kingu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni