Timothy Marko
KATIKA
kuhakikisha Mazingira ya soko lahisa nchini yanaimarika katika kukuza uchumi wanchi
,Shirika lanyumba nchini NHC kwa kushirikiana na Soko la hisa Dar es salam DSE,
limeingia makubaliano yaujenzi wa makao makuu yasoko hilo unaogharimu kiasi cha
Shilingi bilioni 3.366
Akizungumza
katika makubaliano hayo mapema hii leo jiijini Dar es salaam Mkurugenzi wa
shirika la nyumba nchini Nehemia Mchechu amesema kuwa mradi huo unaotarajiwa
kujengwa katika Maeneo ya morocco utakuwa mita za mraba 105,000 unatatajia
kukamilika baada ya miaka mitatu .
‘’Makubaliano
haya kati ya shirika lanyumba la taifa (NHC)na soko lahisa la Dares salaam
(DSE)yanatoa fursa kwa soko lahisa kwa mawakala wa soko la mitaji kuweza kupata
fursa yakuwa na jengo lakisasa ‘’Alisema Nehemia Mchechu .
Mchechu
alisema kuwa huu ni wakati wa mashirika ya kimataifa na yale yakati kuweza
kuchangamkia fursa inayotolewa nasoko hilo lamitaji ilkuwa chachu ya
maendeleo yaweadau wanaofanyabishara
katika eneo husika .
Alisema kuwa
samba mba mradi huo utajumuisha eneo la kuweza kutua helikopta na eneo
lamaegesho yamagari pamoja naeneo la ofisi .
‘’sifa za
mradi huu nipamoja kuwepo kwa majengo pacha mawili makubwa na ghorofa moja ambapo ndani yake kuna
ghorofa kumi nasaba ‘’Aliongeza Mchechu .
Mkurugenzi
mtendaji wa soko lahisa jijini ,Mollemi Marwa alisema kuwa lengo nakuingia
makubaliano na shilika hilo lanyumba nikuweza kujenga jengo katika eneo
lamorocco ikuweza kukuza viwango wa taasisi hiyo yakifedha .
Marwa
alisema kuwa hali hiyo imetokana uwezo wa soko hilo lahisa kukua na kuleta
mabadilko chanya .
‘’Nasisi
tumeonelea kwanini tusiwe naeneo Morocco Square mradi huu unameta za mraba 60,5000mradi
huu utakuwa nasehemu mbalimbali ‘’Alisema Marwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni