Timothy Marko.
TUME ya haki
za binadamu na utawala bora nchini imezitaka
taasisi zisizo za kiserikali kushirikiana na tume hiyo katika kukamilisha
upelelezi na uendeshaji wa kesi za watu wanaodaiwa kufanya ukatili wa mauaji
yawatu wenye ulemavu wangozi Albino.
Akizungumza
na waandishi wa habari jijni Dar es salaam mapema hii leo, mwenyekiti watume
hiyo Bahame Tom amesema kuwa kufuatia vitendo vya mauaji yawatu wenye ulemavu
Albino kushamiri tume hiyo imeziomba jumuhia za kimataifa kuweza kushirikiana
na serikali ka tika kukomesha vitendo hivyo .
‘’Kutokana
namapendekezo ya wadau wameiomba jumuhia za kimataifa kuunga mkono jitihada za
serikali ya Tanzania katika mapambano ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino kwa
kuipatia misaada yakiufundi ‘’Alisema Bahame Tom.
Tom
alisemakuwa samba mba na jitihada za kimataifa, pia ameziomba taasisihizo
kushirikiana naofisi ya mwanasheria mkuu waserikali ili iweze kuandaa mswada wa
marekebisho yakudhibiti vitendo vyakishirikina kwa mujibu wa katiba .
Alisema
kwamujibu wasura 18 kifungu cha 8(1)kina mpa mkuu wa wilaya ya kumuhamisha mtu
anaye hisiwa kuwa ni mchawi kwenda sehemu nyingine wa shitakiwa hao washitakiwa
washitakiwe marabaada yapolisi kukamilisha upelelezi wao .
‘’Kwa
kushirikiana nawadau wengine serikali iandae mswada mwingine wamarekebisho ya
sheria tiba mbadala ya mwaka 2001 nakufuta kifungu chamatumizi ya viungo vya
wanyama katika dawa mbadala ‘’Aliongeza Mwenyekiti watumehiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni