Timothy Marko .
JESHI
lapolisi kanda maalum mkoa wa Dar es salaam limeweza kudhibiti maandamano
yaliyopangwa kufanyikia mapema hii leo na jumuhia yavijana wa chama cha wananchi (JUVICUF) baada
yakufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa chama hicho nchini Professa IBRAHIM
Lipumba na jeshi hilo .
Akizungumza
juu yausitishwaji wa maandamano hayo mapema hii leo katika mkutano wa waandishi
wa habari jijini Dar es salaam kamishina
wa polisi wakanda maalumu Suleiman Kova amesema kuwa baada ya mwenyekiti huyo
wa chama cha wananchi kupata taarifa kutoka kwajeshi hilo aliwataka uongozi wa
JUVICUF kusitisha maandamano ilikuweza kuepusha matatizo yasiyo yalazima .
‘’Mwenyekiti
wa wa CUF taifa professa Ibrahim lipumba amenijulisha mimi kuwa ameshazungumza
nauongozi wa JUVICUF ili waachane na
maandamano ilkuepusha matatizo yatakayoweza kutokea ‘’Alisema Suileima KOVA.
Kamanda KOVA alisema kutokana namawasiliano baina
yake na kiongozi wa chama hicho nakubaini kuwa endapo maandamano hayo
yangefanyika yangeweza kuleta madhara makubwa .
Alisema kuwa
anawashukuru wanachama wachama hicho pamoja nakiongozi wachama hichokutumia
busara yakutofanya maandamano kwani mapambano kati yaw a nachama hao kungeweza
kufanya uvunjifu wa amani .
‘’Mimi
naamini kwamba huu ni ukurasa mpya uliofunguka nakutoa fursa baina yapande
mbili jeshi lapolisi na chama cha wananchi CUF ‘’Aliongeza kamanda kova.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni