.
NAIBU KATIBU wa wizara ya viwanda nabiashara MARIA DILIA kizungumza katika hafla yakutunukuwalihitimu mafunzo ya takwimu katika chuo cha takwimu jijini Dar es salaam.
|
Timothy Marko.
KATIKA kuhakikisha taifa linakuwana takwimu sahihi ilikuetamaendeleo Kituo chatakwimu nchini kimeendeleza mafunzo maaluum kwa wadau wake ilkuweza kuwapata watalaam watakao fanya kazi kwa weledi ilkuweza kuwezesha takwimu kutumika katika kupata takwimu sahihi zitakazo tumika katika Nyanja za kukuza uchumi .
Akihitimisha mafunzo hayojijini Dar es salaam Kaimu mkurugenzi wa shirikisho laviwanda nchini Hussen Kamota amesemakuwakatika nchi zilizo endelea hutumiatakwimu zilizopo katika nchi zao ilikuweza kujieletea maendeleo yaviwanda .
‘’Nimuhimu kufanya sensa yaviwanda kwamaendeleo ya taifa tutatumia tafiti hizi zilizofanywakiktengo chakwimu hapa nchini ilkuweza kukuza sekta yaviwanda ‘’Alisema Hussen Kamota .
Kamota alisema kuwa taarifa zasensa zaviwanda zitatumika kukusanya taarifa zitakazo wezesha kukuza sekta sekta yaviwandavya hapa nchini zitakazo leta maendeleo mbalilimbali ikiwemo kukuza ajira .
Katika hatua nyingine Mkurugenzi wakituo chatakwimu nchini Albina CHUWA amesema kuwa zoezi lakuwafundisha wanafunzi wakitengo cha takwimu wapatao 2000limekidhi vigezo vyote vyakimataifa katika ukusanyaji watakwimu .
CHUWA alisema mafunzo hayo yamendeshwa siku kumi nane ambapo mafunzo hayo yataweza kuisaidia kituo hicho ilkuweza kukuza mikakati takwimu itakayoletatijakwa taifa .
‘’Takwimu hizi zitaweza kupanga mikakati yaviwanda ilkuweza kukuza uchumi hapa nchini ‘’aliong
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni