Jumatano, 21 Januari 2015

MABEHEWA YALIYO KAGULIWA NAKAMATI YABUNGE YA WIZARA YAUCHUKUZI MAPEMA HII LEO

MABEHEWA YALIYO KAGULIWA NAKAMATI YABUNGE YA WIZARA YAUCHUKUZI MAPEMA HII LEO 


Timothy Marko.
MWENYEKITI wakamati ya bungeya wizara ya uchukuzi  naibu waziri wa wizara hiyo  Charles CHIZEBA amesema kuwa jumla ya dola milioni miambili zinatarajiwa kuwekezwa katika sekta yausafirishaji wailkuweza kuboresha miundombinu  yareli .
Hayo yalisemwa na naibu wazirihuyo jijinileo  Dar es salaam ,wakati wa ziara yakamati ya bunge ilipokuwa ikikagua maendeleo ya shirika lareli ikiwemo miundombinu yashirika hilo .
‘’Jumla yamkopo wa Dola milioni mia mbili zinatarajiwa kukopwanakuwekezwa  kutoka katika benki TIB ilikuliwezesha shirilika reli nchini ambapo tunatarajia kuweliweza jumlaya yamabehewa 151 yataweza kupatikana na kuanza kufanya kazi ya usafirishaji ‘’Alisema Naibu waziri Charles chizeba .
Naibu WAZIRI Chizeba alisema kuwa katika mabehewa  yatatu mika katika kubeba mizigo pamoja na abiria watakao safiri kwa njia ya treni ili kurahisisha usafiri kwatumiaji wareli hapa nchini .
Katika hatua nyingine Naibu waziri huyo wa uchukuzi amewataka wafanya kazi washirika hilo lareli kuinua kiwango cha uzalishaji katika shirika hilo ikuweza kuboresha hali ya kiuchumi na kuto a lawama kwa serikali kwani juhudi zao katika kazi ndizo zitakazoweza kulipa stahiki zao wanaozidai muda mrefu .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni