waziri wa mambo ya ndani MATHIS CHIKAWE akizungumza na waandshi wa wa habariJIJINI Dares salaam mapema hii leo ( kulia)Kushoto ni
Timothy Marko.
SERIKALI imewatoa hofu watu wenye ulemavu wangozi kuwa
itaendelea kushiriikiana jumuhia za watu wenye ulemavu huo wangozi ilikuweza
kuweka juhudi za pamoja katika kutokomeza vitendo vyamauaji ya watu wenye
ulemavu wangozi ikiwemo kuwafutia nakuwachukulia hatu waganga wajadi
wanaojihusisha navitendo vya mauaji ya
watu wenyeulemavu wangozi (ALBINO).
Akizungumza jijini
Dar es salaam mapema hii leo WAZIRI w a mambo yandani Mathias CHIKAWE amesema kuwa Kwa kushirikiana
najeshi lapolisi pamoja nawadau mbalimbali waliopo katika chama cha albino
nchini watashirikiana katika kuunda kikosi kazi kitakacho shughulikia maswala
mbali mbali ya kisheria ilkuweza kuwabaini watuhumiwa wauhalifu dhidi ya albino
nchini .
‘’Jeshi la
polisi nchini pamoja nachama cha malbino nchini tumeunda timu maalumu
itakayoshughulikia katika kukomesha vitendo vya ulemavu wangozi wahusika wote
watachukuliwa hatua za kisheria ‘’Alisema Waziri Mathias Chikawe .
Waziri
Chikawe alisema kuwa kufuatia hatua hiyo serikali imewapiga marufuku waganga
wajadi kupiga ramli kutokana nakuiuka maigizo yakiserikali yanayo wataka
waganga hao wajadi kutibu wagonjwa wao bila kuhusisha imani za kishirikina
ikiwemo mauaji ya albino .
Alisema kuwa
kwakushirikiana naserikali zamitaa pamoja nawala zamikoa TAMISEMI itawaagiza
watendaji hao kuweza kubaini mganga yeyote waajadi anajijihusisha naimani za
kishirikina kiwemo mauaji yawatu wenye ulemavu wangozi .
‘’Tutawashirikisha
watendaji waserikali za mitaa jambo hili ilikuweza kuwabaini watuhumiwa wa
mauaji yawatu wenye ulemavu wangozi ikiwezekana kuchukuliwa hatua endapo
watabainika wakijihusisha navitendo hivyo ‘’Aliongeza Waziri wa mambo yandani
Mathias CHIKAWE.
Mwenyekiti wa chama cha Malbino TANZANIA ,ERNEST KIMAYA
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni