Timothy
Marko
WATALAMU washeria nchini wameaswa kufanya tafiti
za haki za binadamu zinazowalenga watoto ilikuweza kubaini changamoto
mbalilimbali zinazo wakabili ikiwemo watoto waliopo mahabusu kwa makosa
mambalimbali ikiwemo makosa yajinai nakuyatafutia ufumbuzi .
Akizungumza katika uzinduzi wa ripot
i ya hali
ya watoto waliopo katika magereza
mbalimbali hapa nchiniiliyoandaliwa na taasisi ya WILAC mapema hii leo jijini
Dar es salaam , katibu mkuu wa wizara yakatiba Maimuna Tarishi amesemakuwa hali ya utoahaji haki kwa
watoto Tanzania imekuwa katika hali mbaya ikilinganishwa nanchi nyingine
kimataifa .
KATIBU MKUU WA WIZARA KATIBA NASHERIAMAMUNATASHI AKIZUNGUMZA KATIKA UFUNGUZI WARIPOTI JIJINI DAR ES SALAAM |
‘’hali yamfumo wautoaji haki kwa watoto katika
magereza halingani nanchi nyingine kimataifa Tanzania imekuwa ikiwachanganya
mahabusu waliopo chini yamiaka 18 na watu wazima hali inayopelekea dosari
katika magereza mbalimbali hapa nchini .’’alisema Maimuna Tarishi .
KATIBU wa wizara yakatiba na sheria alisemakuwa kufuatia
jitihada mbalimbali zilizofanywa na mashirika mbali mbali ikiwemo shirika la
watoto laumoja wa mataifa UNICEF kwa kushirikiana nakituo chawanawake
wanasheria WILAC Imeweza kuwa saidia watoto 115 kutoka katika mahabusu yakisutu
kupata msaada wakisheria.
Muwakilishi waumoja wa mataifa washirika la watoto
linalowashughulikia maswala yawatoto UNICEF VICTORIA MGONELA katika kuwashughulikia
watoto watoto ambao hukinzana na maswala mbalimbali huweza kushughulikiwa madai
yao .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni