Timothy
Marko
Jumuhia
ya makatibu mhutasi nchini imewataka wanachama wake kuzingatia maadili wawapo
katika utendajiwao wa kazi ilkukuweza kukuza taluma hiyo ambayo nimuhimu katika
mashirika binafsi na yale yaumma .
Akizungumza
na waandishi wa habari jiijini Dar es salaam ,Mwenyekiti wa Jumuhia ya makatibu
muhutasi nchini Zuhura Songambele amesema kuwa ilkuweza kukuza taaluma ya
makatibu muhutasi watuhumishi wafani hiyo nivyema kuzingat ia maadili ilkuweza
kukuza heshima yataaluma hiyo .
‘’Serikali
imeweza kuruhusu vyuo vyingi vinavyo fundisha ukatibu muhutasi ikiwemo vyuo
binafsi na vile vya umma lakini tuna tarajia kuwa katibu muhutasi anakuwa na
ukaribu wa kutekeleza majukumu yake kwa bosi aliye muajiri na si vinginevyo ‘’Alisema
Zuhura Songambele .
Zuhura
Songambele alisema kuwa pindi katibu muhutasi atapo ona ananyanyaswa na mwajiri
wake ikiwemo kunyanyaswa kijinsia katibu muhutasi hana budi kutoa taarifa
katika mamlaka husika ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa .
Alisema
ilkuweza kuzibani changamoto mbalimbali wa nazopitia makatibu muhutasi katika
tasisi za umma nabinafsi makatibu muhtasi hao hawana budi kujiunga katika vyama
vya makatibu muhutasi nchini ikuweza kutatuliwa kero zao ikiwemo kunyanyaswa na
mabosi wao kijinsia ilihatua ziweze kuchukuliwa .
JUHUMUHIA YAMAKATIBU MUHUTASI WAKIZUMNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM . caption |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni