KATIKA
kuhakisha upatikakanaji wa bidhaa ya sukari hapanchini serikali imewaonya
vikali wanaosarifisha sukari kwanjia yamagendo kuaachana natabia hiyo kabla
hatu a zakisheria hazijachukuliwa kwa baaadhi ya wafanyabishara wanaosafirisha
bidhaa hiyo kwenda nchi za jirani .
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema hii leo waziri wa kilimo na
chakula Christoper Chiza amesema kuwa kupitia wizara hiyo pamoja najeshi
lapolisi pamomoja nataasi nyinginezo zitawachukulia hatua wafanyabishara
wanaoagiza sukari kimagendo nakuweza kusababisha mfumuko wabei wa bidhaa hiyo.
‘’Serikali
imejipanga kudhibiti bidhaa zote zinzoingia kimagendo ikiwemo sukari ambazo
hazinakibali hapa nchini ambapo tutatumia vyombombali mbali ikiwemo mamlaka ya
mapato ,wizara ya viwanda na bishara pamoja najeshi lapolisi ‘’Alisema WAZIRI
wa chakula Christoper chiza .
Waziri Chiza
amesema kuwakupitia vyombo mbambali ikiwemo wizara yafedha itaiagiza wizara
hiyo kilabidhaa inayo aigizwa kutoka nje ya nchi ikiwemo sukari kulipiwa kodi.
Aidha wazirichiza
aliwataka kupitia sekta yabandari namlaka yamapato kuhakikisha inapata takwimu
sahihi kwa kushirikiana na wizara yaviwanda nabiashara ilkubaini wafanyabishara
wanaoagiza bidhaa hiyo ya sukari hapa nchini.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni