BAADHI yawaandishishi wahabari wakimsikiliza waziri watamisemi Hawa
GHASIA AKIZUNGUMZA JUU YA TATHIMI NI YAUCHAGUZI
Timothy Marrko.
KUFUATIA
dosari mbalimbali zilizo jitokeza katika
uchaguzi wa serikali za mitaa ulionyaika jana, serikali imesema imesikitishwa na
baadhi yavitendo vilivyowezakatika maeneo mbali mbali katika uchaguzihuo ulionfanyika jana nchini kote .
Akizungumza
na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Waziri wa TAMISEMI
Hawa GHasia amesema kufuatia vurugu zilizojitokeza katika uchaguzi huo wa
serikali za mitaa ulio fanyika jana serikali inawataka wakuu wamikoa kuwa
silisha taarifa rasmi kilichojiri katika mikoa yao ikiwemo kutoa taarifa katika
kila halimashauri ya mikoa hiyo .
‘’tumeitaka
mikoa iwasilishe taarifa rasmi na kamilifu kuhusu kilichojitokeza katika
halimashauri hizo ilkuiwezesha wizara kuchambua taarifa nakuwabaini wote
waliosababisha kasoro ili wachukuliwe hatua stahiki ‘’Alisema Waziri wa
tamisemi Hawa GHASIA .
Waziri wa
Tamisemi HAWA GHASIA alisema kuwa kushindwa kwa baadhi ya watendaji wa mitaa
kusimimamia uchaguzi nikosa kubwa nakusisitiza kuwa kwawale watakao bainika
watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa kazi,kuvuliwa madaraka ,kushushwa cheo na
kukatwa mishahara yao .
Alisema endapo
itatabainika kuwa kuna baadhi ya Halima shauri hazikufanyavizuri katika
kusimamia uchaguzi uchaguzi huo utarudiwa katika kipindi cha siku saba kwa
mujibu wa kanuni zauchaguzi wa serikali za mitaa
WASERIKALI ZA MITAAA .
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni