Jumanne, 16 Desemba 2014

CUF YAMTAKA RAIS KUWASHUGHULIKIA WA LIOHARIBU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

MWENYEKITI wa CUF taifa PROFESA ibrahimu LIPUMBA akizungumza na wandishi wa habari mapema hii leojijini Dar es salam .

BAADHI ya wajumbe na waandishi wahabari wakimsikiliza Mwenyekiti wa CUF Taifa PROFESSA IBRAHIMU LIPUMBA hayupo pichani .


Timothy Marko
Mwenyekiti wa chama cha wananchi nchini CUF Profesa Ibrahimu Lipumba amemtaka Rais Jakaya kikwete kuwaangalia watendaji wake waliopo chini yake juu ya utendaji wao katika usimamizi wa chaguzi mbalimbali ikiwemo uchaguzi mkuu ujao kufuatia kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni .

Akizungumza mapema hii leo jijini Dar es salaam Professa Ibrahimu Lipumba amesema kuwa kumekuwa matukio yambinu chafu katika uchaguzi katika serikali za mitaa ikwemo ucheleweshwaji wa vifaa vya uchaguzi nakufanya uchaguzi huo katika serikali za mitaa kuahirishwa kutokana kutofika vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupigia kura kuchelewa kufika katika vituo vya kupigia kura .

‘’wilaya nyingi chaguzi hazikuanza kwa wakati kutokana nauchelewesh waji wavifaa katika vituo mbalimbali nakuweza kuathiri uchaguzi ikiwemo uchaguzi kusogezwa mbele ‘’Alisema Profesa Ibrahim Lipumba
 .
Professa Lipumba alisema kuwa katika mikoa mbalimbali ikwemo Dar es salaam katika kata yailalavingunguti ,Na baadhi ya kata mbali mbali katika mikoa kulionekana kasoro za wazi kama kata za kishapu ,mkinga ,tunduru ulanga ,kasulu ,zilionekana kuwa na kasoro uchaguzi .


.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni