Jumatatu, 8 Desemba 2014

SERIKALI YASITISHA UMILIKI WA HISA WA MWEKEZAZAJI WA SHIRIKA LA RELI NCHINI.

WAZIRI WAUCHUKUZI DK HARISON MWAKYEME AKIZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA RELI NCHINI,on


Timothy Marko.
SERIKALI imesitisha umilikiwa washirika la reli nchini kwa aliyekuwa akimiliki hisa la shirika hilo nakutaka mikataba yaumiliki wamikataba kuangaliwa kwa upya .
Hatua hiyo yausitwashwaji wa umilikiwa hisa kati ya aliyekuwa mkuu wa bodi katika shirika hilo ISACK MWAKAGILA na BOAZ MOLELIwaliokuwa wanamiki jumla ya hisa 2500katika kipindi cha mwaka 2007/2008 kutokuwa nauhalali wa umiliki katika shirika hilo .
Akizungumza katika kikao chawafanyakazi wa shirika la Reli nchini mapema hii leo jijini Dar es salaam Waziri wa uchukuzi HARRISON MWAKYEMBE amesemakuwa watumishi hao walikuwa katika kampuni yakubeba mizigo iliyopewa zabuni katika shirika hilo kampuni transdop iliyokuwa inamilikiwa na ISAC Mwakagila wasitishwa mikataba yao baada ya kudaiwa kuzidisha mizigo katika mabehewa nakutochukuliwa hatua yoyote yakisheria .
‘’baada ya mkataba wakampuni wa MRF uliosainiwa mwaka katika kipindi cha 2002/2003 serikali ilibaini ukarabati wa mabehewa pamoja viberenge hakufanyika vizuri ‘’alisema waziri HARISSON MWAKYEMBE.
Waziri Mwakyembe alisema kuwa baada yaserikali kubaini ilikuwa bodi ya shirika hilo ilitumia fedha kwakukodisha viberenge ilkuendesha shirika hilo .
Katika hatua nyingine serikali imeitaka shirika la reli kutumia fedha hizo ambazo zilikuwa zikitumika katika kukodisha viberenge hivyo kutumika kwa ajili yakuwalipa mishahara na stahiki zote ambazo walizokuwa wakidai wafanyakazi wa shilika hilo.

BAADHI ya wafanyakazi washirika la reli nchini wakimsikiliza waziri mwakyembe akitoa baadhi ya maadhimio yaliyofikiwa naserikali juu ya uboreshwaji wa shirika la reli nchini .


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni