Timothy Marko
Waziri mkuu
Mizengo pinda amewataka wadau wa sekta binafsi
akushirikiana na serikali ilkuweza kuondokana natatizo la upungufu
wamadakitari nchini haliinayopelekea kuzorota kwa huduma za afya hapa nchini .
Akizungumza
mapema hii leo, katika mkutano wamwaka wa wadau kutoka wizara ya afya waziri
mkuu mizengo pinda amesema kuwa maboresho katika sekta ya afya nimoja ya
malengo yamilenia ambapo Tanzania imekuwa mtekelezaji kupitia mkakati
wakupunguza umasikini 2015/16 naule mpango wa mendeleo wa mwaka 2025 .
‘’sekta
binafsi imekuwa ikikuwa siku hadi siku jitihada zaserikali nikuona sekta
binafsi na serikali zina ungana ilkuweza kunganisha rasimali ikiwemo rasimali
watu ilikuweza kuchangia huduma bora za afya katika vituo mbalimbali vya afya nimatumaini yangu mifuko binafsi ya hifadhi
ya jamii ya afya pamoja na sekta binafsi zinazo mchango wa kukuza sekta afya
hapa nchini ‘’Alisema Waziri mkuu Mizengo pinda .
Waziri mkuu
pinda amesema kuwa inakaririwa asilimia 18ya watu waliopo nchini wamekuwa wakitumia
bima ya afya katika hospitali za watu binafsi wakati asilimia15.3tu hutumia
huduma za afya katika hospitali za serikali .
Alisema kuwa
inakaririwa katika kipindi cha mwaka 2012/13 dakitari mojahudumia watu 75000
ikilinga nishwa natakwimu za kimataifa ambapo dakitari moja anakiwa kuhudumia
watu 7000 wakati muuguzi mmoja anahudumia watu 6,000 ambapo kiwango cha
kimataifa muuguzi anatakiwa kuhudumia
watu miatano 500.
‘’serikali
imekuwa ikipanua wigo wa upatikanaji vifaa tiba katika zahanati katikampango wamaendeleo
MMAH ilikuweza kuhakikisha watu waishio vijijini wanafikiwa nahuduma za afya
‘’aliongeza Mizengo pinda.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni