Timothy Marko.
JESHI
lapolisi kanda malumu limewakamata watuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha
sita kufuatia jeshi hilo kufanyamsako maalumu ya tukio laujambazi katika benki
ya STANBIC tawi la mayfair Kindondoni Jijini
Dar es salaam.
Akizungumza
jijini Dar es salam mapema hii leo Kamishina wakanda maalum jijini Dar es
salaam Suleiman Kova amesema kuwa kufuatia tukio lauporaji huo 0ctober 23 mwaka
huu ambapo majambazi hao walipora kiasi cha shilingi 186,500,000 baada yatukio
hilo wafanyakazi wa benki hiyo walikamatwa najeshi hilo nabadadaye watuhumiwa
hao kupewadhamana kwajili ya upelelezi nahatimaye kugundulika kwa watu sita
walio fanya tukio hilo .
‘’Waliokamatwa
nipamoja na SELESTINA MKUMBO (46)ambaye nimeneja msaidizi wabenki ya stanibic
tawi la myfair ,Annastazia Ringo (46)mtunza funguo za benki mkazi wa jetlumo ,Tegemea ayubu(39)mpelezi wa
benki mkazi wagoba ,FranciNDERITO(39)Mkazi wa Nairobi ,Richard ottieno (37)raia
wakenya ,jumanne saidiki (40)mkazi wa gongo lamboto ‘’ALISEMA kamanda Suleiman kova .
Suleiman
kova alisema baada yakukamatwa kwa watuhumiwa hao walikiri kuhusika natukio
hilo kwakula njama nabaadhi ya wafanyakazi wabenki hiyo ambapo aliwataja kuwa
ni selestina nalogwa ambaye nimtunza funguo pamoja na anastazia ringo ambaye
nimtunza fungo wabenki hiyo .
Katika hatua
nyingine jeshilo limewakamata majambazi sugu kumi ambapo wawili kati yao
wliuwawa katika mapambano yakurushiana risasi napolisi kufuatia operesheni
iliyofanyika October 28 mwaka huu .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni