ASKARI POLISI WAKIWA KATIKA MAANDAMMANO YA KUADHIMISHA SIKU YA UKATILI WA KIJINSIA MAPEMA HII LEO jijini DAR ES SALAAM. |
Timothy Marko
KATIKA
kupambana na tatizo la ukatili wakijinsia nchini imelezwa kuwa hali ya umasikini
nimoja changamoto inayoikumba jamii katika kupambana navitendo hivyo
nakupelekea vitendo hivyo kushamiri siku hadi siku .
Akizungumza
mapema hii leo katika maadhimisho ya siku yakupinga vitendo vya ukatili wa
kijinsia jijini Dar es salam kamishina wamkoa wakipolisi kinondoni ACP Camillius Wambura amesema kuwa sambamba
nachangamoto hiyo kumekuwa na uelewa
mdogo wautoaji taarifa juu ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ambapo jamii
imekuwa namtazamo hasi wautoaji tarifa kutokana nautamaduni uliojengeka kuwa
unyanyasaji wa watoto ni jambo la aibu .
‘’Hali ya
umasikini ulikithiri unachangia kujingiza katika vitendo vya unyanyasaji ili
walipwe pesapamoja namila potofu ikiwemo ukketaji nibaadhi yamambo
yanayochangia vitendo vyaukatili wa kijinsia kwa watoto ‘’Alisema Camillius
Wambura .
Kamanda
Wambura alisema kuwa kumekuwa na baadhi yawazazi wa athirika wavitendo vya
ukatili hukwamisha kesi mahakani yawahanga wa vitendo hivyo ikwemo kukubali
kulipwa fedha kutoka kwa watumiwa ilikuweza kukwamisha kesi mahakamani .
Alisema kuwa
hali inayotokana na mashaidi kukata tamaa kutokana na baadhi yandugu wa wahanga
wa vitendo vya ukatili kutokana nabaadhi yawazazi kukubali kupokea hongo kutoka
kwa watuhumiwa ilkuweza kuai lisha kesi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni