Timothy Marko.
Tume ya uchaguzi nchini imesemakuwa itaanza zoezi la uboreshwaji wa daftari lakupigia kura kwakutumia mfumo Biometric voter Registration katika majimbo matatu ya uchaguzi ikiwemo jimbo la kawe lililopo katika wilaya kinondoni pamoja nahalimashauri yakirombelo na mlele katika halimashauri ya katavi .
Akizungumza nawaandishi wahabari mapema hii leo ,Jajimkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahamoud Hamid amesema kuwa uboreshwaji Daftari la kudumu lawapigakura kwakutumia mfumo huo utaanza mwezi November mwaka huu ambapo vituo vyauandikishwaji vimewekwa katika halimashauri husikakatika kufanikisha zoezi hilo.
‘’Ilikufanikisha zoezi hilo la majaribio yauboreshwaji tume hivi karibuni itakutana nawadau mbalimbali wa uchaguzi mkiwemo nyinyi waandishi wa habari kwamadhumuni yakuepeana taarifa za uandikishwaji nakupata maoni jinsi ya kufanikisha zoezi hili ‘’Alisema Hamid Mahamod.
Mahamod alisema kuwa tume yake imeshapokea vifaa muhimu vya uandikishaji ikiwemo fomu za uandikishaji nakusisitiza kuwa kina chosubiriwa nivifaa vya mfumo waBVR KITS 250 ambapo vifaa hivyo vinatarajiwa kupokelewa hii leo .
Alisema kuwa zoezi lauandikishwaji wa piga kura litaanza saa mbili asubuhi nakumalizika sakumi nambili katika vituo tilivyopangwa na kuongeza kuwa kuwa vyama vya siasa vina ruhusiwa kuweka mawaka la katika kilakituo.
‘’Baada yakukamilika kwa zoezi lamajaribio la uboreshwaji wa daftari kinachofuata kuanza katika maeneo mengine tunatarajia uboreshwaji wa daftari utafanyika wakati mmoja katika mikoa mingine isipokuwa mkoa wa Dar es salaam na Zanzibar utafanyika mara baada ya mikoa mingine yote utakapo kamililika ambapo muda wa uandikishwaji utakuwa wakipindi cha siku saba kwakila kituo ‘’Aliongeza Mahamod.
Aliongeza kuwa uandikishwaji huo utanza mwezi januari mwakani hadi katikati yamwezi febuary katika mikoa yote isipokuwa Zanzibar na Dar es salaam mikoa hiyo undikishaji wake utaanza mwanzoni mwa mwezi march mwakani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni