Timothy
Marko.
Katika
kuhakiksha tatizo laujangili linapewa ufumbuzi serikali kwakushirikiana nchi za
ujerumani pamamoja na chinamarekani zimewekeana makubaliano yakukomesha biashara
yameno yatembo swala la ambalo linachangia ujangili kukua hapa nchini .
Akizungumza
nawaandishi wa habari jijini leo waziri wa mali asili nautalii Razaro Nyalandu
amesema kuwa lengo la kukutana na mabalozi wanchi hizo waishio hapanchini
nikuona jinsigani kukabiliana natatizo laujangili ambalo limekuwa liwakumba
nchi nyingi barani afrika .
‘
’mambo
ambayo yanayotalijiwa kufanyiwa makubaliano
ikiwemokuongeza rasmali za
kupambana naujangili ambapo tutatiliana saini kusudi kuweza komesha biashara
hii ya meno ya tembo ‘’Alisema Waziri Razalo Nyalandu
Razalo
Nyalandu alisema kuwa serikali inatarajia kujenga makao makao makuu mjini
morogoro yakupambana vita dhidi yaujangili ambapo askari wa wanyama pori mbalimbali
wanatarajiwa kuwepo katika maeneo hayo ilkuweza kukabiliana natatizo laujangili
.
Alisema
kuwa anampongeza Rais jakaya kikwete
katika kuendeleza maendeleo katika mikoa yakusini ambapo benki ya dunia
imekubaliana kushirikiana nanchi ya Tanzania ilkuweza kukomesha vitendo vya
ujangili .
‘’Ninapenda
kuchukua nafasi hii kumshukuru Rais JAKAYA Kikwete katika kuendeleza na kuhimiza
juuhudi mbalimbali za kimaendeleo katika mikoa yakusini pia napenda kuishukuru
benki ya dunia katika kuwezsha vifaa vyakukabiliana majangili’’aliongeza waziri
nyalaandu.
Aliongeza
kuwa mnamo tarehe5-7Novemba mwaka huu kunatajiwa kuwepo mkutano ambapo agenda
mbalimbali ikiwemo ujangili zinatalajiwakujadiliwa katika mkutano huo ikiwemo
mbinu mbalimbali za kuthibiti ujangili .
Katika
hatua nyingine mabalozi china naujerumani na marekani wamekubaliana katika
kuisaidia nchi ya Tanzania katika kupambana naujangili .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni