Timothy Marko.
Jeshi
lapolisi mkoani Dar es salaam linawashikilia watusaba kwatuhuma zakumiliki noti
badia za dolaya kimarekani zenyethamani shilingi bilioni moja milioni mia
sitini na nane 1,O6400 katika nyumba ambayo walikuwa wamepanga .
Akizungumza
jijini leo ,nawaandishi wa habari Kamishina wa kanda maalumu Suleimani Kova amesema kuwa fedhahizo zilikamatwa
katika maeneo yasinza katika hoteli iitwayo Mombasa jijini humo nawatuhumiwa hao kukamatwa agosti
4 mwaka huu.
‘’Tulipata
taarifa kutoka kwa wasamaria wema nakuweka mtego wakuwakamata ndipo askari
polisi walipofika katika eneo hilo tukawakamata watuhumiwa hao wakiwa nanoti za
kimarekani zilizo bandia zikiwa zimefungwa mabunda themanini nakiasi kikingine
kimefungwa kwanamba za siri ‘’Alisema kamishina SULEIMAN KOVA.
Kamishina KOVA alisema kuwa watuhumiwa hao Ahamed
Mohamed (50)mkazi wa Mombasa Kenya ,Richad Magoti (61)mkazi wa musoma mkoani mara
Simon Lukiko (58)mkazi wa magomeni kagera Humprey Leonard( 34)mkazi wa mburahati
,Abdallah YUSUPH (34)Mkazi wasinza
,bakari bakari(31)mkazi wa mbezi kimara .
Katika hatua
nyingine jeshi lapolisi limewataka waakazi wajiji la Dar es salaam kuangalia
mechi yampira kati ya real Madrid na timu ya Tanzania 11 kwa amani nakutokuwa
nawasisi wasi juu ya usalama wamechi hiyo kesho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni