Timothy Marko.
IMEELEZWA moja ya changamoto zinazoikabili utumishi wa umma nchini ni mikataba inayotolewa katika taasisi mbalimbali imekuwa si yakudumu hali inayopelekea hali ya utumishi wa umma katika makampuni mbali mbali kutokuwa na uwajibikaji unaokidhi mahitaji kwa wateja wa huduma mbalimbali wa taasisi hizo za kiserikali .
Akizungumza jana katika maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma waziri wa utumishi wa umma nchini Hawa Ghasia amesema kuwa hali madiliko ya matumizi yatekenolojia mbali mbali imekuwa nikikwazo kinachochangia kuzolotesha utumishi wa umma nakusisitiza kuwa hii nikutokana watumishi wengi wanaotoka katika taasisi hizo kutoendana na kasi ya matumizi ya tenknolojia.
‘’Naelewa kuwa kuwa nidhairi zipo changamoto zinazo ikabili sekta yaumma nchini lakini bado zinafanyiwa kazi baadhi yake zinahitaji ushirikishwaji wa wadau mbalimbali kama ilivyofanyika hii leo kama nilivyoeleza awali washiriki wanao nafasi nzuri wa kuzijadili na kuzipatika ufumbuzi ‘’Alisema Waziri wa utumishi wa umma Hawa Ghasia.
Waziri Hawa Ghasia alisema lengo la kongamano hilo ni kutaka wadau mbalimbali wa sekta yaumma nchini kuzijadili changamoto hizo ili kuweza kutoka na majibu sahihi yatakayo iwezesha serikali kutekeleza mipango yake kiufanisi ilikufikia malengo yamatokeo makubwa sasa ilkuhakikisha taifa linafikia dira ya maendeleo ya2025.
Katika hatua nyingine Waziri wautumishi wa umma Hawa Ghasia amewataka watumishi wa umma nchini kukuza uelewa wa maswala mbalimbali ya husuyo Tehama ilkuweza kuokoa rasmali mbali mbali ikiwemo rasmali ya fedha na muda ilikuhakikisha huduma zinazo tolewa nataasihizo nizenye ubora.
‘’Matumizi ya Tehama ni muhimu sana katika utumishi wa umma nawadau wa wake kwakuwa inaokoa Rasmali fedha namuda kwa watu wake ilkuhakikisha wananchi wanapata huduma bora kwa wakati ‘’Alisema Waziri wa utumishi wa umma.
Alisema wiki ya maadhimisho yautumishi wauma unao umuhimu wakipekee hii nikutokana maadhimisho hayo yanaendana sambamba na maadhimisho yautumishi waumma kwakipindi cha miaka 50 ya utumishi wa umma.
Aliongeza kuwa maadhimisho hayo yamwaka huu yanaendana sambamba na kaulimbiu ya Mikataba wa Msingi na kanuni za utumishi wa umma wa bara la afrika nichachu yakuimarisha utawalalabora nauendeshwaji wa shughuli za serikai kwa uwazi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni