Ijumaa, 20 Juni 2014

WADAU WA SEKTA YAUTUMISHI WA UMMA WAASWA KUZINGATIA MIONGOZO NA SHERIA KATIKA KUTENDAJI WA KAZI ZAO.

Timothy   Marko.
WATUMISHI wa sekta yaumma nchini  wameaswa kuzingatia  sheria pamoja namiongozo katika utendaji wa kila siku ili kujieletea maendeleo nakufikia malengo yaliyowekwa ndani ya taasi hizo za umma.
Akihitimisha kongamano la utumishi wa umma nchini jijini leo ,Katibu kiongozi Ombeni Sefue amesema kuwa swala laupimaji wa utendaji kazi kwamtumishi waumma nijambo ambalo lakuzingatiwa ambapo  kilamtumishi wa uuma anapaswa kujaaza fomu za OPRASkwa mujibu wa kisheria .
‘’Mtumishi kujaza fomu za OPRAS niswala lakisheria ni takwa ambalo lazima litekelezwe ilikuweza kupima utendaji wa kazi ilkuweza kujua wapi kuna tatizo ili tuweze kurekebisha na hivyo kuweza kusongambele ipasavyo’’Alisema Ombeni sefue
Ombeni sefue alisema kanuni zilizopo zakudumu zinaeleza kuwa nilazima kutumia taarifa za kiutumishi kwa katibu mkuu utumishi pindi mabadiliko yoyote yanapotokea ilikuwa wezesha  wafanyakazi wengine wa umma kuweza kupata taarifa .
Sefue alisema katibu mkuu utumishi atakuwa anaanda taaarifa hizo kuhusiana nausahihi wa tarifa hizo kila mwezi ilkuweza kuhakikisha wadau wasekta yaumma kuona uhalisia wa taarifa hizo .
Katika hatua nyingine Katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue amewataka watumishi wa sekta ya umma kuzingatia mikataba ya huduma kwa wateja ambao nikiungo muhimu kati yataasisi za umma.
‘’naombamzingatie mikataba ilkuweza kutimiza tukutane wadau mbalimbali ilkuweza kufanya mabadilko pindi pale inapo hitajika kufanya hivyo  mikata ba hiyo sio siri ibandikwe katika mbao za matangazo ilkuwezesha kila mteja kusoma pale anapoweza kutembelea katika  ofisi zetu’’aliongeza Katibu Mkuu kiongozi .
Alisisi tiza, kuwa lengo lamaadhimisho hayo nikuwawezesha watumishi wauma kusherekea mafanikio katika maendeleo ya taifa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni