Timothy Marko.
Wataalamu wa Dawa za asili kutoka nchini china wamewataka watalamu wa tiba nchini kukukuza ushirikiano katika kuboresha huduma yatiba ya asili hapa nchini ilikuweza kukuza sekta ya afya hapa nchini.
Akizungumza mapema leo jijini katika washa maalumu iliyo andaliwa na wizara ya afya na ustawi wajamii kaimu mkurugezi wa idara ya tiba nchini Ahadie Senkoro amesema kuwa lengo lawasha hiyo iliyowakusa nya watalaamu mbalimbali wa dawa za asili kutoka nchini humo ili kuweza kubadilisha uzoefu kwa wataalamu wa dawa za asili hapa nchini.
‘’Lengo la wageni hawa ni kukuza ushirikiano wa dawa za asili za kichina pamoja na dawa za asili za kwetu lakini sisi kama wizara tunayo miongozo ambapo kuna sheria za dawa za asili lakini kwahapa Tanzania tunazotahasisi lakini hatujaweza kufikia kiwango kikubwa’’Alisema Ahadie senkoro .
Senkoro alisema kuwa lengo lawatalamu hao wakutoka china wanatarajia kufanya kozi fupi fupi ilikuwa wezesha wataalam wa tiba hapa nchini kupata uzoefu wa dawa za asili .
Katika hatua nyingine serikali imepiga marufuku kwa waganga wa kienyeji kuweka mabango yao ilikutangaza huduma zao nakusisitiza kuwa mganga yeyote watiba za asili nilazima afuate sheria ikiwemo kufanya usajili watiba yake.
Alisema serikali ipokatika mkakati wakuwachukulia hatua waganga wote watakao kiuka maagizo ya serikali .
‘’tuna wataka waondoe vibao vyao kabla hatua hazijachukuliwa ‘’alisemasenkoro.
Naye Mtalamu kutoka nchini china wa watiba asilia kutoka taasisi ya Consitute tradition of china university yui shai amesema kuwa tiba ya asili nchini humo ni yakipindi kirefu ambapo tibahiyo ilitumika kuponya magonjwa mbali mbali .
Yui shai amesema nchi hiyo imeweza kukuza teknolojia ya dawa za asili zinazotokana namiti matunda mbalimbali kama vile japan na austaria.
‘’Tiba ya dawa za asili nizakipindi kirefu ambapo kati yatiba hizo zilitumika katika taaratibu za upasuaji’’Alisema Yui shai.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni