Timothy Marko.
KUFUATIA habari zilizotolewa hivi karibuni na kituo cha habari hapa nchini (sio blog hii)kuwa wanafunzi zaidi ya 200 wa kutoka Tanzania wa chuo nchini Cyprus wanaweza kuhitimu kwangazi ya shahada itolewayo nachuo hicho pasipo kuta mbuliwa na tume ya vyuo vyuo vikuu hapa nchini chuo hicho kimekanusha madai hayo yaliliyo tolewa nakituo hicho cha habari .
Akizungumza jijini leo na waandishi wa habari Mkuu wa bodi ya ushauri katika chuo hicho Dk.Hassan Ai Bicak amesema kuwa madai yaliyoliyot olewa nachombo hicho cha habari cha hapa nchini hayana ukweli wowote nakuwa mwandishi wa gazeti hilo hakuweza kufanya utafiti wa kina kuhusiana naswalahilo .
‘’uongozi wa chuo cha CYPRUS International Univesity unakanusha madi yaliyotolewa na mwandishi juu ya habari wanafunzi 200 wakutoka Tanzania wanaweza kuhitimu kwa ngazi ya shahada itolewayo nachuo hiki pasipo kutambuliwa na tume ya vyuo vikuu hapa nchini tuna amini kuwa mwandishi huyu hakufanya utafiti wakutosha bali amelichukulia swala hili kisiasa ‘’Alisema Dk Hassan Ai Bicak.
Dk.Hassan Bicak alisema kuwa ijulikanekuwa hali yakisiasa inayolendele a nchini humo isichanganywe na maswala yakielimu nchini humo aidha aliongeza kuwa wanataluma wanatakiwa kuachana na maswala ya kisiasa yanayotokea nchini humo kwani haya husiani namaswala ya kielimu nchini humo.
Alisema kuwa kwamfano Tanzania wakati nchi ya afrika kusini ilipokuwa katika kipindi cha ubaguzi wa rangi nchi ya Tanzania ilkuwa ikiiheshimu nchi hiyo ya afrika kusini kufuatia mfano huo vile vile tunzo zinazo tolewa nachuo hicho cha Cyprus kilichopo kusini mwa nchi hiyo haya takiwi na nchi ya uturuki madai mengi yatolewayo ni madai yakisiasa zaidi.
‘’Hivi karibuni kulikuwa na makubaliano kati ya cypurs ya kaskazini nakusini kuhusiana baina nchi hizo ajenda juu ya makubaliano yasichanganywe na maswala Ya kisiasa pamoja na maswala kitalluma swala kitaluma linasimama pekeyake hali wezi kuchanganywa na sisasa’’ Aliongeza Dk.Hassan .
Dk Hassan alilitaka gazeti lacitizen lahapa nchini kukanusha madai hayo kabla hajachukua hatua za kisheria juu ya gazeti hilo kuhusiana na habari ilyoshapishwa juni 23 mwaka huu ikiwa nakichwa cha habarizaidi yawanafunzi 200 wanaosoma nchini Cyprus wapohatiani kutotambuliw a na tume ya vyuo vikuu ya hapa nchini.
Hivi karibuni gazeti la citizen liliandika kuwa zaidi ya wanafunzi 200 wamohatiani ya kutambuliwa natume ya vyuo vikuu (TCU)kutokana chuo cha Cyprus International Univesity hakindambuliwi na tume ya vyuo vikuu hapa nchini .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni