Timothy Marko.
Katika kupambambana na tatizo lautapiamlo kwa watoto wenye umri chini yamiaka mitano nchini,taasi yalishe kwa kushirikiana na shilika la umoja wa mataifa linaloshughulika na maswala ya afya ulimwenguni (WHO)limezindua mpango maluum wa kukabiliana natatizo hilo hapa nchini .
Akizindua mpangohuo muwakilishi wa shilika la umoja wamataifa linaloshughulikia na maswala ya afya duniani (WHO)Dk.Theopister Jonh amesema kuwa Tanzania imeweza kukabiliana na kiwango chautapiamlo hadi kufikia asilimia 40 ambapo jitahahizo zimekuwa sio nzuri katika kupambana na swala hilo hivyo jitihada za ziada zinahitajika katika kupambana na swala hilo.
‘’kiwango cha kupambana na utapia mlo kwa Tanzania ni asilimia 40 kiwango hikisicha kuridhisha mnatakiwa kuogeza juhudi katika kupambana na swala hili udumavu wa watoto wenye chini ya miaka 8 umekuwa nimkubwa ‘’alisema Dk .Theopister Jonh.
DK.Theopister Jonh alisema kuwa kumekuwepo natatizo la unene kwa kiwango kikubwa kwa wanawake hadi kufikia asilimia 50 nakusisitiza jitihada zakupunguza unene uliokithiri niswala kubwa na lenye uzito kubwa katika kukabiliana nalo.
Aidha Theopister Jonh ameongeza kuwa hali yakupunguza vifo vya watoto limekuwa nitatizo kubwa hasa nchi zilizo katika ukanda wa afrika .
‘’tatizo lavifo vya watoto waliochini yaumri wa miaka mitano limekuwa nitatizo hivyo jitiada lazima zifanyike katika kukabiliana natatizo hili’’alisema muwakilishi waWHO.
Mratibu wa ulishwaji wa chakula nalishe nchini ,Neema Joshua alisema kuwa utapiamlo umetokana na baadhi ya kuwepo kwalisheisiokuwa navigezo maalum ambavyo chakula kkinahitajika kiwe.
Alisema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo shirika la afya duniani wataweza kupambana na tatizo la utapia mlo kwa watoto wenye chini ya umri 8.
‘’katika kupambana naswala hili tunawasisitiza wamama kunyonyesha watoto wao ilkupunguza tatizo la lishe duni kwa watoto’’Alisema Neema Joshua.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni