Timothy Marko.
WATALAMU wa afya wamehimizwa kufanya tafititi zihusianazo na magonjwa mbalimbali ilikutatatua changamoto za tiba za magonjwa mbalimbali ambayo nisugu ilikutatua changamato za afya kwa wananchi hapa nchini .
Hayo yamesemwa leo na makamu wa Rais DK Gharibu billali wakati akizindua mpango mkakati wa tiba ilikuboresha hali ya afya hapanchini ambao mpangohuo uliofanywa nakituo chautafiti wa magonjwa yabinadamu (NIMR).
‘’nimatumaini yangu mpango huu uliozinduliwa hii leo utawezakujibu nakutatua changamoto mbalimbali zihusianazo na hali ya afya hapa nchini nakuwawezesha wananchi kuweza kupata huduma za afya zilizo bora hapa nchini’’alisema Ghalibu billali,
Makamu wa Rais Ghalibu Billali alisema mkutano huo ulionakauli mbiu ya imarisha yasekta ya afya kwamaendeleo nchi zilizo kusini wa jangwa la sahara aliongeza kuwa mpango huu umekuja kufuatia jumuhia yakimataifa pamoja naule wa umoja wamataifa kuuweka kama malengo yamilenia ifikapo mwaka 2015 ambapo Tanzania nimoja mshiriki muhimu wa malengo ya millennia .
Alisema mkutano huo umewashirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo ili waweze kutoa uzoefu wakuhusiana utafiti wa masuala mbali mbali yausuyo taifiti zihusianazo na masuala ya afya ikijumuisha wadau mbalimbali wa shirika la afya duniani (WHO)ilikuweka mpango mkakati wa ajenda muhimu ya afya ya 2015 .
‘’nimewaita wadau mbalimbali kama WHO iliwaweze kutupa uzoefu mbalimbali wa maswala yakufanya utafiti wa maswala ya afya kama ajenda yao muhimu katika mwaka 2015 pia nimweza kumualika mkurugenzi wa mazingira kutoka ofisi ya makamu wa rais sio tu kuhudhuria mkutano huu bali kuwakilisha taarifa za athari zakimazingira kwa hapa nchini’’alisema Gharibu bilali .
Makamu wa Rais aliongeza kuwa Tanzania imebakiza muda mchache ilikuweza kukamilisha malengo ya millennia kama ilivyo ainishwa najumuhia ya kimataifa ambapo Tanzania imebakiza hatua tatu ilikufikia malengo hayo .
Aliongeza kuwa kuwa taasisi hiyo ya NIMR itajifunza nakufanya utafiti changanuzi ilikuwaezesha kupitia marejeo ya mafanikio na kuzikabili changamoto zilizopo katika sekta ya afya .
‘’kupitia majibu yatafiti hii imeonyesha kuwa mikakati mingi ya kuboresha sekta ya afya ipo katika nusu yawamu ya kwanza wa utekelezaji mpango wa HSSP nashukuru ile tofauti kati ya mjini navijijini kiuchumi nakijamii umezidi kupungua kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita’’alisema MakamU wa Rais.
MKurugenzi wakituo cha utafiti wamagonjwa yabinadamu Dr Mwele Maleccela amesema kuwa tangu kuanzinshwa kwa Taasisi 1979 hiyo imekuwa ikijikita katika katika kufanya tafiti zitakazo boresha sekta ya afya katka kuratibu sera zihusianazo namaswala yaafy a .
DR malleccela amesema taasisi yake imekuwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni