Jumatano, 23 Aprili 2014

JAJI WARIOBA AWATAKA CCM KUHESHIMU MAONI YA WANANCHI:

Timothy Marko.
Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba nchini Jaji Joseph  Warioba  amesemakuwa mapendekezo yaliyotolewa natume yake kuhusiana namuundo waserikali tatu nimapendekezo yaliyotolewa nawananchi  kwenye mabaraza yakatiba .
Akizungumza leo katika mkutano wakutathimini mwenendo wa katiba ulioanda liwa nataasisi isiyo yakiserikali ya twaweza foundation jaji joseph warioba amesema kuwa wananchi walitaka kuwepo kwa muundo wa muungano  wenye serikali tatu .
‘’Haya maoni yaliyotolewa ni maoni yawananchi kuhusiana namuundo waserikali wananchi waliitaji muundo wamuungano wenye  serikali tatu kama unataka serikali mbili lazima utoe sababu  wananchi wanasema wanasiasa msirukie tume haya ni maoni  wananchi .
Kwa upande wake  naibu katibu mkuu wachama CUF Julius Mtatiro amesema kuwa ameipongeza taasisi ya twaweza kwa kufanya utafiti wenye tija kwa taifa ambao unaowapa dira kwa wananchi .
Julias mtatiro alisema kuwa taasihiyo yatwaweza iliweza kufanya utafiti ikilinganishwa na baadhi yawajumbe walio kuwepo kwenyebunge la katiba ambao wamepewa zaidi shilingi bilioni 8 lakini hawajaufanyia umuhimu wowote.
Alisema walioleta mchakato wakatiba mpya nivyama vya upinzani nakuongeza kuwa mchakatohuo  haukuanzishwa nachamatawala bali wao wamehodhi mchakato huo kama wakwao  ilikujinufaisha wao wenyewe .
‘’kumekuwa  nadhana kuwa kuwa CCM hawajawanufaisha watanzania  hivyo Rais kikwete ametumia mchakato huu kama njia yakukiksafisha chama chake  kwa kuanzisha mchakato wakatiba mpya lakini mchakato huu haukuanzishwa na CCM bali ulikuwa ukipigiwa kelele na vyama vya siasa vyaupinzani kuwa kuna umuhimu wa kupata katiba mpya lakini nashangaa CCM kufanya kama ajenda yao  iliwawezekuitumia katika uchaguzi mkuu ujao’’alisema Mtatiro
Alisisitiza kuwa walioleta mchakato huo ni chama cha upinzani nasio chama tawala .
Aidha Naibu KATIBU MKUU huyo alisema kuwa nilazima wananchi wasikilizwe ili kuweza kujua wanahitajinini kwenye katibayao kwani katiba ni mali yawananchi nasio mali yachama tawala .
‘’hatutoweza kukukubali chamakimoja kuhodhi mchakato wa katiba twende tukawasikilize wananchi wawanasemaje kuhusiana namuundo wa serikali ama serikalitatu ama mbili ‘’alisema mtatiro.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni