Timothy Marko.
Katika kuhakikisha jeshi lapolisi linafanya majukumu yake kikamilifu kitengo cha jeshi lapolisi cha reli nchini kimewatunukia askari wajeshi hilo tunzo kwa askari polisi waliotimiza wajibu wao kwa kuwakamata wahalifu wanaohujuumu miundo mbinu ya reli .
Akizungumza wakati wamakabidhiano yazawadi jijijini leo kamanda wakikosi cha reli nchini ACP Sada juma Haji amesema amewatunuku askari hao tisa kufuatia kufanikisha zoezi lakuwakamata wanaoharibu miundo mbinu ya reli hapa nchini.
‘’leo tunawatunuku maskari 9 waliofanya vizuri kwakitengo chapolisi reli kwa waliokamata vyuma vya reli ambao askari waliofanyakazi hiyo wangi wao wapo mikoani’’alisema SAADA HAJI .
Kamanda wakikosi chareli Saada haji alisema askari hao nipamoja na E.5514 D/SSGT sajenti Steve Leonard,E.1832corp Benard napamoja na F.4832DC .Jabili .
Aliongeza kuwa askari waengine waliofanikisha lakugundua kuwepo kiwanda cha kuyeyushia mataruma nareli katika kijiji cha visiga mlandizi mkoani pwani nakuokoa reli 171 ,namataluma 105 pamoja na viunganishi vya reli 25 vyote vikiwa katika hatua yakuyeyushwa nakutengeneza nondo.
‘’kundi hili lapili laskari ambao tunawatunuku leo hii ni waliofanikisha nakugundua uwepo wakikwanda cha kuyeyushia mataluma nareli katika kijijicha visiga hawa nipamoja na D.8174/CPL DISMAS, E.2829 D/CPLENOCK ,E.6908D/CPL DEUS’’aliongeza kamanda saada haji
Kamanda saada aliongeza kuwa katika hatuanyingine kundi ambalo limetunukiwa hii leo nipamoja na walifanikisha kupatikana kwa taarifa za siri zakiwanda kinachojihusisha nakuyeyusha mataluma yareli huko mkoani arusha ambapo askari hao walifanikiwa kukamamata reli 12 kati yake reli 2 zilikuwa zimefukiwa aridhini ndani ya shamba lamigomba.
‘’waliofanikisha zoezi hili nipamoja na D.3670S/SGT SHABANI,D.5896 D/CPL SELESTINE, D.7046 D/CPL PRUDENCE’’aliongeza.
Kwa upande wake muwakilishi wa kikosi kazi cha askari hao corp Dismass alisema zoezi hilo laukanmataji wa mataluma hayo waiipata kwa raia wema ambapo jumla yavipande 171 vya mataluma vilikamatwa .
Aidha naye mkuu waupelelezi wa idara yapolisi relini jijini Bernad Minja alisema walizipata taarifahizo juni 26 mwakajana ndipo walipoanza kufanya uchunguzi nakubani kuwa katika eneo la kidomole ambapo watuhumiwa 48 walikamatwa wakiwa na bunduki aina yashort gun
‘’ilikuwa mwakajana juni 26 tuliwafuatilia katika eneo lakidomole tulipata taarifakuwa wananchi 48 walikamatwa wakiwa na bunduki aina ya short gun’’alisemaBernard minja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni