Timothy Marko.
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa shilingi billion 6.5 kutoka serikali ya japani kutoka kwenye kampuni ya JICA ilikuweza kuboresha sekta yakilimo naumwagiliaji pamoja nambolea msaada huo ukiwa nalengo la kuboresha bidhaa zitokanazo na mazao yakilimo.
Akisaini makubaliano ya msaada huo leokatibu mkuu wa wizara ya fedha servacius Likwalile amesema msaada huo umelenga katika kusaidia katika pembembejeo zakilimo zikiwemo mbolea ilikuweza kukuza sekta yakilimo nchini.
‘’mradi huu umelenga kukuza maendeo katika sekta yakilimo ambapo zaidi ya asilimia 74 sekta yakilimo imwekuwa ikikuza ajira nakutoa fursa nyingi za ajira wengi wao wamekua wakiji shugulisha nakilimo kama ajira’’alisema Servacius likwalile.
Likwalile alisema ili mazao yatokanayo nakilimo yawenaubora unaotakiwa lazima uboreshwaji wa mazingira katika kilimo uwe thabiti ilikuwa nufaisha kundi kubwa la wakulima wakati kuji shugulisha nakilimo .
Alisema serikali inawekajitihada kubwa ilikuimarisha sekta yauzalishaji katika sekta yakilimo ilikuweza kuwa na uhakika wa chakula .
‘’katikakipindi cha mwaka 2014-2015 serikali imejipanga kuongeza upatikanaji wa chakula kutoka asilimia 104 hadi kufikia 120,kukuza sekta yakilimo hadikufikia asilimia 6 nakuongeza thamani yamazao kutoka asilimia 30 hadi 50 katika mwaka 2015/16’’alisema likwalille.
Kwa upande wake muwakilishi mkurugenzi wa kampuni ya jica Yasuniri Onishi
ya nchini japani amesema kuwa shilika lake litatoa shilingi bilioni6.5 za kitanzania sawa yeni 380 milioni ilikuwa wezesha wakulima kupata mbegu napembejeo ze nue ubora unao takiwa.
Yasunishi onishi aliongeza kuwa mradihuo utaweza kuboresha sekta mbalimbali zikiwemo za uwagiliaji ,pembejeo za kilimo, pamoja nambolea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni