Jumanne, 1 Aprili 2014

AJALI ZA BARABARANI ZA ZIDIKUWA TISHIO NCHINI ASEMA KAMANDA MPINGA .

Timothy  Marko
Gari aina ya fuso mistubishi  lilikuwa likitokea moshi kuja jijijini limesababisha ajali nakusababisha  kifo chamtu mmoja ambaye jinalake bado halijaweza kufahamika .
Gari hilo limemgonga diwani wa hedaru aliyekuwa  akiendesha  gari aina ya Toyota Hilux  ambaye ni  Diwani wa kata ya hedaru ,ambaye alifahamika kwa jina Gerard Mgwena wakati gari hilo likielekea msibani  ambapo mtuhuyo alifariki alidaiwa kusombwa na maji .
Akizungumza leo mkuu wa kikosi cha usalama barabarani kamanda Mohamed mpinga alisema dereva huyo wa Hilux pick up alipokuwa amefika katika eneohilo latukio alikuta bara bara imefunikwa na matope ilyotokana namvua zinazoendelea kunyesha jijini hapa .
‘’Dereva wa gari aina hilux pick up alisimama nakufanya uchunguzi kama angeweza kupita kwa usalama ,ghafla upande wa nyuma lilitokea roli  aina yafuso nakisha kuigonga  pick up hatimaye kusukumwa nakwenda kugongana uso kwa uso  nagari jingine  aina yascania  ikiendeshwa na dereva aitwaye Gabriel  David akitokea Dar es salaam kuelekea moshi’’alisema kamanda Mohamed mpinga.

Katika tukio jingine  Kamanda mpinga alisema kuwa  mnamo  march 29 mwaka huu majira yasaa mbili  usiku katika maeneo ya mkupuka jijini Dar es salam kata yakibiti  gari aina ya hiace lenye namba za usajili  T948cux ambalolilkuwa likitokea ikwiriri kwenda kibiti likiwa limebeba abiria ambao niwafanyabiashara  ambao walikuwa wakitoka guliloni siku ya jumamosi  kwenda kibiti siku yajumapili  dereva wa hice aliligonga roli lilokuwa limeharibika  ambalo gari hilo lilisababisha vifo vya watu saba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni