Timothy Marko.
Mamlaka ya
mawasiano nchini inatarajia kufanyaziara mbalimbali katika vyombo vya habari
hasa vile vinavuhusiana nautangazaji
ikiwanalengo kutazama na kuangalia maudhui yaliyopo katika vyombo
hivyo pamoja namazingira ya kazi katika
vituo hivyo .
Akizungumza na waandishi wahabari leo jijini mwenyekiti wakamati yamaudhui Magret
Nyangi amesema lengo kufanyaziara hiyo kwenye vyombo vya habari nipamoja
nakukumbusha kanuni za utangazaji
nakuhakikisha maudhui yanchi yanakuwa salama.
‘’lengo lakamati hii nikufuatilia maudhui ya utangazaji
pamoja nakuangalia mazingira yakazi inapofanyika lengo kuu nikukumbusha kuhusiana
nakanuni za utangazaji kuhakikisha maudhui yanchi yanakuwa salama’’alisema
Margeti nyangi .
Magreti nyangi alisema lengo hilo lakutembelea vituo vya
redio na televisheni kuhakikisha taarifa zozote za uchochezi zinachukuliwa
hatua ilikuhakikisha maudhui yaliyolengwa
yanamfikia msikilizaji na mtazamaji kwausahihi.
Alisema kama hatua madhubuti hazitachukuliwa dhidi ya
vyombo vinavyo potosha ukweli nakuleta uchochezi vyombo hivyo vya habari
vinaweza kuleta madhara .
‘’kama mnavyo fahamu tansia yautangazaji ni muhimili wan
ne wa dola hii niziara yamwisho katika kanda zajuu kusini katika mikoa ya mbeya
hali ilikuwa siyakuridhisha kumekuwa na changamoto yataaluma kuna vituo
vimewajili watu wasio nauzoefu wakutosha’’alisema Magreti nyange mwenyekiti wa
kamati wa maudhui wa mamlaka ya mawasilano.
Kwa upande wake mjumbe wakamati hiyo Joseph Mapunda
alisema katika tahimini iliyo fanywa na mamlaka hiyo kupitia kamati
iliyoteuliwa kushugulikia maudhui ili baini kuwa moja ya changamoto zilizopo
kwenye baadhi ya vyombo vyahabari ni
vifaa duni.
Joseph Mapunda alisema katikatathimini iliyofanywa
watendaji wengi waliopo katika vyombo vya habari hawana mikataba ya ajira
.
‘’Tuliona vifaa vikiwa niduni inabidi hali iboreshwe napia
tulionakuwa watendaji wengi waliopo katika vyombo hivyo niwa muda hawana ajira
zakudumu’’alisema Mapunda.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni