Timoth Marko
Serikali imejiwekea mkakati wakuhakisha huduma
kwawatoto walioathiriwa kijinsia zina patikana haki zao zinalindwa ilikupunguza
vitendo vyaukatiliwa kinjinsia dhidi
yawatoto vinakomeshwa.
Akizungumza leo
nawaandishi wahabari waziri wa afya
naustawi wajamii Seif Rashid amesema mpango wakukomesha ukatili dhidi yawatoto
umekuja baada yaserikali kwakushirikiana namashirika yasiyo yakiserikali
ya plan international na serve the
children pamoja na unicef.
‘’mpango huu
tayari umeshaanza ambapo kwaujumla mpango huu ni wamiaka miwili au mitatu ambao
unalenga katika kutoa huduma kwa watoto walioathirika nakuhakikisha hakizao
zinalindwa ‘’alisema seif Rashid
Waziri seif rashidi alisema lengo kubwa nikuteng’eneza
mifumo ya itakayowawe zesha watoto wanaopata matatizo kuweza kupata haki zao
pindi wanapo pata vitendo vya ukatili dhidi yao kwa kuwashirikisha jeshi la
polisi katika dawati maalumu linalo
shughulikia vitendo vyaukatili wakijinsia dhidi ya watoto.
Alisema tukio
la mpango wakukomesha vitendo vya ukatili dhidi yawatoto linalo ratidiwa na shirika laumoja wamataifa
linaloshulikia maswala ya watoto (UNICEF)umekuja huku ukiwa nalengo
lakuunganisha kanda zote kwaku shirikiana nawadau mbalimbli wamaswala ya watoto
ikiwemo shirika la unicef ,pamoja na serve children ikishirikiana na shilirika
la plan international.
Aidha DK
Seif Rashid aliongeza kuwa kumekuwa nataarifa nyingi za watoto kudhalililishwa
nakupata maradhi ya maambukizi ya virusi vyaukimwi hali inayo wapelekea kuacha masomo .
‘’nimuhimu
kutekeleza mpango huu wakuwalinda dhidi yavitendo vyaukatili wa kijinsia wanao
fanyiwa watoto kitaifa ilikuwazesha katika jitihada za kukomesha vitendo
vyaukatili wakijinsia dhidi yawatoto’’alisema DK Seif Rashidi waziri wa afya na
ustawi wajamii.
Kwa upande
wake muwakilishi wa wa toto wenye ulemavu kutoka shule ya viziwi ya msingi ya
buguruni Zaina Hemedi alisema kumekuwa
na matatizo kwa watoto wenye ulemavu kufichwa lakini serikali ipo kipaumbele
katika kuhakikisha kila mtoto anapata fursa ya elimu.
‘’tunaishukuru serikali kwakutujali sisi watu wenyeulemavu pamoja na jumuhia ya ulaya pamoja shiirika la
umoja wamataifa linalo shugulikia watoto katika kutuwezesha kupata elimu’’alisema
Zaina Mohamedi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni