Ijumaa, 12 Agosti 2016

WAZIRI LUKUVI AWATAKA WATENDAJI WAKE KUJIPANGA KUBORESHA MIUNDOMBINU DODOMA.

Tokeo la picha la WAZIRI LUKUVI

Waziri wa ardhi ,nyumba na Mandeleo ya Makazi William lukuvi

Timothy Marko.
WAKATI Viongozi waserikali wakiwakatika harakati za kuhamia jijini Dodoma Waziri wa ardhi ,nyumba na Mandeleo ya Makazi William lukuvi amewataka watendaji wawizara hiyo kuendelea kujenganyumba na makaazi za watumishi waseerikali kwa haraka .

Akizungumza katika kikao kilicho wakutanisha maafisa wamipango miji jijini Dar es salaam mapema hii  leo waziri Lukuvi amewataka watendaji hao kuweza kujipanga kujenga nyumba za makazi  za watumishi hao ilikuweza kuwahudumia watumishi waserikali wanaotarajia kuhamia mjini dodoma .

''Lengo lakuwaiteni katikakikao hiki nikuwataka mjipange ilikuweza kujipanga ninamna gani mtaweza kutuhudumia wakati tukiwa mjini dodoma ,mbaka sasa Dar es salaam itakuwa mji mkuu wa kibiashara natunatarajia mjii huu kuwa mji maarufu duniani kwa biashara ''Alisema Waziri Lukuvi .

Waziri LUKUVI alisema kuwa sambamba na wizara mbalimbali kuhamia katika jiji la Dodoma aliwataka watendaji hao kuweza kuboresha ramani ya mipango miji ilikuonesha namna gani mji unavyotakiwa kukaa ikiwemo kuboresha miundombinu ya majengo .

Alisema kuwa lazima jiji Dar es salam ligeuzwe kama jiji lakibiashara kama ilivyo miji mingine mikubwa duniani ilikuweza kukuza fursa nyingi zakibiashara nakiuchumi nakutaka huduma zote zitakazohitajika katika jiji hilo kuwa madhubuti zitakazo wahamasisha wawekezaji ikiwemo makampuni makubwa .

''Tumeshamaliza mastar Plan tangu mwaka 2010 ya Dodoma kwani maeneo mengi yakuishi yamesha ainishwa mimi tu ninawakaribisha dodoma ''Aliongeza WAZIRI wa Ardhi nyumba na makazi Lukuvi .

Aliongeza kuwa nilazima maafisa mipangomiji kuanisha maeneo muhimu ya kufanya biashara ilkiwemo viwanja vyandege ambapo alisisitiza kuwa tayari wizara yake imejenga mahoteli mbalimbali kwajili ya wageni wanaingia nchini .

Katika hatua nyingine Katibu wawizara hiyo Michaeli Mwalukasa amesema kuwa serikali inaandaa sera yanyumba ikiwemo muswada wauendelezaji miliki katika miji mbalimbalinchini .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni