Afisa mwandamizi wa SOKO LA HISA DSE Mary KINABO |
Timothy Marko.
MAUZO ya hisa katika soko la Dar es salaam DSE yameweza kushuka kutoka shilingi bilioni 6 kwa wikililiyopita nakuweza kufikia shilingi bilioni moja kwa wiki hii .
Akizungumza na waandishi wahabari Afisa mwandamizi wa soko hilo Mary kinabo amesema kuwa kushuka kwa mauzo yahisa kumewezakuchangiwa nakushuka kwasekta yaviwanda katika kaunta ya TCC kwa asilimia 0.088wakati huo sekta yakibeki kishuka kwa asilimia 7.7 .
''Kampuni zinzoongoza kwa ununuzi wahisa nipamoja na Nmb ,CRDB ,DSE wakati mtaji wasoko umeweza kukua shilingitrioni trioni 24.6 kutoka trioni24'''alisema Mary kinabo .
Kinabo alisema kuwa hali yakupungua kwa kahisa kumetokana namakapuni hayo kuuza hisa zake zote.
KATIKA hatua nyingine afisa huyo alimtaja GODFREY PANTAELEO wa chuo kikuu chamipango dodoma kama mshindi washindano la schollar investment chalange
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni