Naibu waziri wa Mali Asili na Utalii Mhandisi Ramo Makani |
JUMLA ya shilingi 17,796,250 zimeweza kupatikana nakuchangia pato la taifa ikilinganishwa 162,353 ,610 zilizopatika na katika kipindi cha mwaka 2015/16 hali iyochangiwa na sekta ya utalii kama kichocheo muhimu wa ukuwaji wa uchumi nchini .
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Naibu waziri wa Mali Asili na Utalii Mhandisi Ramo Makani amesema kuwa kuongezeka kwa mapato hayo katika sekta yautalii kumechangiwa nakiwango kikubwa cha watalii wandani kutembelea hifadhi na vivutio mbalimbali vilivyopo nchini .
''Katika miaka mitano ya 2011hadi 2016 kiwango chawataalii wandani kimeongezeka kutoka asilimia 46 ikilinganishwa naasilimia 56 ya watalii wa nje ambapo takwimu zinaonesha katika miaka mitano cha 2010 hadi kufikia 2014 wastani wa watalii wandani niasilimia 12.1''Alisema Naibu Waziri Ramo Makani .
Naibu Waziri MAKANI alisema kuwa katika kuhakikisha sekta yautalii inaendelea kukuza uchumia nakuchangia pato lataifa serikali kupitia wizara hiyo imeandaa mikakati ikiwemo kuongeza vivutio vyautalii ikiwemo utalii wa fukwe nakuongeza kiwango chautalii wa wa bahari .
Alisema Katika mkakati waserikali uliopo serikali inaendelea kuboresha mazingira yafukwe ikiwemo mgao msanga mkuu na msimbati na mnazi bay zilizopo katika mkoa wa mtwara .
''sambamba na kuzifanyia maboresho ya fukwe zilipo mtwara ,pia serikali ita endelea kuzifanyia maboresho fukwe za kiswele namtoni zilizopo katika mkoa wa LINDI ''aliongeza Naibu waziri mali asili na utalii mhandisi Makani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni