Jumatatu, 29 Agosti 2016

MWANASHERIA MKUU :JESHI LAPOLISI LIPO KISHERIA KATIKA KUZUIA MANDAMANO YA CHADEMA .

Tokeo la picha la GEOGE MASAJUTimothy Marko.

WAKATI kukiwa na mivutano kati ya Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema)na jeshi la polisi nchini juu ya adhima yao ya kufanya maandamano nchi nzima september mosi mwaka huu,Mwanasheria wa serikali George Masaju amesema kitendo cha jeshi hilo kuzuia mikutano ni kwamujibu wa sheria .


Akizungumza Katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es salaam George Masaju amesema kuwa hatua hiyo yajeshi lapolisi ipo kikatiba na kwamujibu washeria ambapo ibara ya 20 ya katiba inapinga chama kinachotumia  nguvu ilikutimiza malengo yake yakisiasa .


''Ukitafusiri neno lenyewe linautata Ukuta kwa tafusiri yao Chadema inasema kuwa ni umoja wakupinga udikiteta Tanzania ,kwa mazingira ya tafusiri hiyo haipo hapa Tanzania kwani nchi hii inaongozwa namifumo ya kidemkrasia nasio udikteta''Alisema Jaji George Masaju .


Jaji Masaju alisema kuwa Ibara ya 30(1)d ya Katiba inataka kuheshimu mamlaka ikiwemo mahahakama kama mahakama imepinga uamuzi huo wakupinga udikteta lakini chama hicho kinaendelea naajenda yao nidhari maandamano hayo si ya amani .

Alisema kuwa  jeshi lapolisi nchini limepewa mamlaka yakulinda amani kwamujibu washeria nakama hatua ya chama hicho chaupinzani kushikilia agenda yao ya kufanya mikutano hapo kunatatizo .


''Kwamazingira yalipo katikaseptember mosi kuna maadhimisho ya jeshi la wananchi watanzania (JWTZ),Kuna wafanyabiashara wanataka kufanya shughuli zao kuruhusu mamandamano haya kutaweza kuathiri mwenendo wasekta yakiuchumi ''Aliongeza  Masaju .


Aliongeza kuwa idadi ya askari polisi nichache ni sawa narobo ya watanzania wote halafu unataka jeshi lapolisi lilinde amani ambapo jeshi hili limepewa mamalaka ya kulinda amani kwa hatua hiyo itashindikana .


Alisisitiza kama chadema inaona kunahaki imevunjwa chama hicho kinapaswa kutoa shauri lao mahakamani ilikwasilisha madai yao.





 



 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni