Afisa Mwandamizi wa Soko la hisa la Dar es salaam (DSE)Mary kinabo |
Timothy Marko
KIWANGO Cha Mauzo
ya hisa Katika Soko lahisa katika soko la hisa la Dar es salaam kimeshuka kutoka shilingi bilioni 3.3 hadi bilioni2.2
Akizungumza
na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Afisa Mwandamizi wa Soko la hisa la
Dar es salaam (DSE)Mary Kinabo amesema kuwa kushuka kwa mauzo ya hisa katika
soko hilo,kumechangiwa na mahitaji makubwa yahisa katika soko hilo .
‘’Wakati huo
huo kiwango cha hisa nakununuliwa zimeshuka kwa asilimia 42 kutoka milioni 1.3
hadi milioni 2.2 ‘’Alisema Afisa Mwandamizi Mary Kinabo.
KINABO alisema kuwa kampuni zinazo ongoza kwa mauzo
yahisa nakunuliwa nipamoja na CRDB kwa asilimia 41 ikifuatiwa nasoko la hisa la
Dar es salam Kwa asilima 36 huku Benki ya kibiashara ya NMB ikishika nafasi
yatatu kwamauzo ya hisa zake kwaasilimia 9
Alisema kuwa wakati benki ya NMB Ikishika
nafasi ya tatu katika mauzo ya hisa katika soko hilo ukubwa wamtaji wa soko
umeshuka kutoka shilingi trioni 23.4 hadi kufikia trioni 22.7 sawa nasalimia 3
.
‘’Viashiria
vya sekta yaviwanda katika wiki hii imeshuka kwapointi 66.10 baada yahisa za
TBLkushuka kwa asilimia 2.13huku sekta yakifedha ikionekana kupanda kwaasilimia
7.83 hii nikutokana bei yahisa kupanda kwenye kaunta za DSE kwa asilimia 33.73
na DCB kwa asilimia 14’’ aliongeza Kinabo.
Aliongeza
kuwa sekta yahuduma ya kibiashara imeimarika kutokana na bei yahisa za shirika
landege laswisport kufikia shilingi 3,543.02
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni