Jumatatu, 1 Agosti 2016

MREMA AWATAKA BODABODA KUWAORODHESHA POLISI WA LA RUSHWA.

Timothy Marko .
ALIYE KUWA MWENYEKITI wa Chama cha Labour Party Agustino Mrema amesema atakwenda kwa Rais wa jamuhuri yamuungano wa Tanzania Dk. Jonh Pombe Magufulichangamoto zinazo wakabilibodaboda ikiwemo baadhi ya polisi wanaodai rushwa kutoka kwa juhuhia hiyo ya waendesha bodaboda katika wilaya yakinondoni.
  
Akizungumza na Wanachama wajumuhia hiyo katika wilaya kinonondoni Kata ya Ubungo amesema kuwa baada ya siku saba atafanya uchunguzi wa kero wanazokabiliana boda boda hao katika kujitafutia  kipato nakisha kuziwasilisha kwa Rais wajamuhuri yamungano wa Tanzania .
''Ndani yasiku saba muwaorodheshe polisi wala rushwa hata leo hii nileteeni niwapeleke kwa muheshimiwa Rais wewe akikudai pesa andika jina lake ndipo tutajua mwisho wake wapolisi huyo ''.Alisema Agustino Mrema .
Mrema alisema kuwa hatua hiyo imekuja baada ya Rais yamkumteua kuwa Mkuu wa watetezi wa Haki za wafungwa Magerezani ambapo mwenyekiti huyo alidai lengo lake nikupunguza idadi ya mahabusu walipo magerezani ikiwemo waendesha boda boda kwa makosa mbali wanayo wakabili baadhi ya waendesha bodaboda .
Alisema kuwa kutokana nuteuzi wake kuhakikisha wafungwa wanapata haki aalilifuata kundi hilo ambalo kila kukicha limekuwa likidaiwa kubambikiwa faini najeshi hilo nahata kudai rushwa kupitia jumuhia hiyo ya wa waendesha boda boda wa kata kinondoni .

''Jambo ninalo wataka msikubali kutumiwa na wanasisasa nyie mnatakiwa kufanya kazi zaidi  kwani boda boda mmekuwa kundi rahisi zaidi kutumiwa na wanasiasa ,lakini sijui huyo mwanasiasa anaye watumia anawapeleka wapi ''Aliongeza Mrema .

Alongeza kuwa nivyema wanasisa wakamuacha Rais Magufuli aweze kuwaeletea maendeleo wananchi kwa ni mamlaka iliyoshinda uchaguzi wamwaka 2015 ni Rais Magufuli .

Mwenyekiti wa waendesha boda boda wilayani kinondoni George Mbwale alimtaka Mwenyekiti huyo wa TLP Agustino Mrema kuwasilisha ujumbe wa jumuhia hiyo kuwa jumuhia hiyo haipo kwaminadi yakufanya siasa na badala yake jumuhia hiyo ipo katika malengo ya kufanya kazi .

Alisema jeshi lapolisi linatakiwa kupambana na wahalifu nasio jumuhia hiyo kwani jumuhia hiyo ipo bega kwabega na Rais Magufuli nakusitiza mara nyingi wamekuwa wakikamatwa nasakari kanzu na kuwataka boda boda hao kutoa kitu kidogo .

''sisi kama boda boda hatuna ugomvi na polisi ila mara kwamara tumekuwa tukikamatwa napolisi na kutulazimisha tutoe kitu kitogo iliwatua achie ''Alisema MBWALE.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni