Naibu Waziri wa Kazivijana ajira Antony Mavunde |
Timothy
Marko .
Naibu Waziri
wa Kazivijana ajira Antony Mavunde
amewataka vijana nchini kutosubiri kuajiriwa na serikali nabadala yake kujikita
katika shughuli za ubunifu Ili kuondokana na tatizo la ukosefu wa ajira .
Antony
Mavunde aliyasema hayo mapema hii leo jijini Dar es salaam wakati wauzinduzi wa
mfumo wa watiketi kwanjia yakiletroniki ulioandaliwa taasisi ya UDSF inayo
jishughulisha na kupambana na umasikini .
‘’Ninaomba
vijana nchi nzima kujikita katika shughuli za ubunifu na kutosubiri ajira
kutoka serikalini nivyema wakatumia
taaluma zao katika ubunifu ili ilikuweza kujiletea maendeleo ‘’Alisema Naibu waziri
wakazi ,vijana naajira Antony
Mavunde
Naibu Waziri
Mavunde alisema kuwa vijana ninguvu kazi yataifa hivyo nilazima vijana kuweza
kujiletea maendeleo kwa kujishughulisha katika shughuli za ubunifu nakuto
ilaumu serikali juu ya ukosefu wa ajira .
Alisema kuwa
hatua ya uzinduzi wa tiketi yakiletroniki kupitia simu za mikononi nihatua
nzuri yakukabiliana na changamoto ya usafiri hasa katika mkoa wa Dar es salaam.
‘’vijana
wengi wamekuwa wakitumia simu katika magroup katika kuchati mambo yasiyo na
tija ‘’Aliongeza Mavunde .
Mwenyekiti
wa Global Company Ramond Magambo amesema kuwa uzinduzi watiketi Rafiki yamtandao
utarahisisha hali yausafiri katika jiji la Dar es salam .
Alisema kuwa
huduma tiketi Rafiki inayotumia Smatt phone na wasio nasmatt phone ambayo
inatumia mfumo wa Tehama itawezsha
kutambua ruti mbalimbali za usafiri katika jiji la Dar es salaam .
‘’Elimu
zaidi itatolewa kwa vyombo vya habari pamoja namitandao ykijamii juu yamifumo
wa tiketi rafiki ilikuweza kurahisisha hali yausafiri katika jiji la Dar es
salam’’Alisema Magambo .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni