Jumanne, 23 Agosti 2016

JKT YAZITAKA SHULE ZENYE UHABA WAMADAWATINCHINI KUCHUKUA MADAWATI.

Timothy Marko.
JESHI lakujenga taifa (JKT) limezitaka shuleambazo zinakabiliwa na uhaba wa madawati nchini kuja kuchukua madawati yao baada ya madawati hayo kukamilika kuwatayari kwa matumizi .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkuu wa jeshi hilo Brigadia Jenerali Michaeli Isamuhyo amesemakuwa Takribani madawati 20,000 yameweza kukamilika yaaweza kutumika nawanafunzi waliopo katika shule zenye uhaba wamadawati .

''Sambamba naukamilshaji wautengenezaji madawati 20,000 kwamatumizi ,jeshi letu la kujenga taifa linaendelea nautengenezaji wamadawati awamu yapili ambapo madawati 30,000 yapokatika matengenezo hivyo tunaowaomba wabunge waliopo kwenye mgao wajekuchukua madawati ''Alisema Brigadia Jenerali Michaeli  Isamuhyo .

Brigadia jenerali Isamuhyo alisema kuwa orodha yamajimbo yatakayo husika katika mgao wamadawati 27615
ipamoja na Mlalet ,Itende jMgulani ,Mtabila ,Kanembwa ,BULOMBOLA ,Msange JKT ,Mlele,NACHINGWEA ,Mazao ,CHITA  OJORO JKT

Alisema idadi hiyo yamadawati ambayo hayachukuliwa nisawa nasilimia 30 huku yaliyo chukuliwa nimadawati 22,721 wakati huohuo madawati 9666 yalionekana kutochukuliwa namajimbo husika .

''Majimbo ambayo bado hayachukua madawati nipamoja mgulani mkoa watanga Mlale MAFINGA  pamoja naitende  mkoani mbeya 'aliongeza Brigadia Jenerali Isamhuyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni