Timothy Marko.
WAZIRI wa Habari Sanaa na Michezo Nape Nauye amesema baada ya kuteng'eneza mswaada wa Habari anatarajia kuteng'eneza Muswada mwingine tena wa Michezo ilikuweza kuondokana natatizo la vilabu vyamichezo kuwepo kwenye migogoro .
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Waziri Nape amesema kumekuwa natabia ya baadhi ya vilabu hivyo vyamichezo vinapopata migogoro hutafuta suluhisho Mahakamani .
''Tunataka tudhibiti watu kwenda mahakamani hasa vilabu vyampira kwani mahakama sio mahala pazuri suala la taasisi yoyote yakimichezo mahakamani kunaondoa sura ya Michezo ''Alisema Nape .
Waziri Nape amsemakuwa moja yachangamoto iliopo kuwa nawachezaji wachache ambapo alii taja shirikahilo ambapo alizitaka taasisi zilizopo kuweza kuajili ''Aliongeza Nape.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni