Alhamisi, 10 Novemba 2016

WAKALA WA SERIKALI MTANDAO WAZITADHARISHA TAASISI ZA UMMA .

Timothy Marko .
WAKALA wa Serikali Mtandao nchini imesema kuwa huduma zote za namba za simu za serikali zitaanza *152\\ nakuwatadharisha wananchi watakao pigiwa aupiga namba zaserikali zisizo anza nambahiyo kuwa nambahiyo itakuwa ni batili .

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salam na Mkurugenzi wa udhibiti Huduma Serikalini Michael Moshiro wakati wa mkutano wa waandishi wa habari juu ya huduma zitlewazo na taasisi hiyo nchini .

''Miongozo yote yakuomba namba serikalini zitaanza namba* 152// namba zozote sizizoanza na nambahii kutokaserikalini ,mjue hiyo sio ya serikali ambapo miongozo hii inalenga kuweza kukidhi mahitaji ya taasisi zilipo nchini ya serikali ''Alisema Mkurugenzi Wa udhibiti huduma serikalini Michaeli Moshiro .

Mkurugezi Moshiro alisemakuwa miongozo yamatumizi yahuduma zote za serikali inalenga kukuza usalama katika taasisi za umma na zile za biafsi ambapo sekta binafsi inapaswa kufuata miongozo iliyopo katika wakala wa mtandao waserikali nchini .
''Miongozo hii inamalengo mbalimbali inalenga juu ya ukuwaji wa data nauhalisia wadata hizo ''Aliongeza

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni