Ijumaa, 11 Novemba 2016

Mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa la Tanzania Samweli Sitta wawasili.


Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dr Jakaya Kikwete pamoja na Mkamu wa pili wa serikali ya mapinzuzi ya zanzibar Balozi Seif Alli Idd wakati wa shughuli ya kumuaga kiongozi huyo aliyeliongoza Bunge la Tanzania kwa mafanikio makubwa.Picha na EXAUD MTEI
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam akishindwa kujizuia na kujikuta akimwaga machozi katika shughuli hiyo baada ya kueleza Jinsi Spika Sitta alivyomsaidia hasa katika Masomo yake ambapo amese kuwa amewahi kumlipia ada ya chuo na kumsaidia kumaliza masomo yake ambapo tangu hapo akawa mmoja kati ya wanafamilia ya Samweli Sitta,


sitaa

Askari wakiwa wamebeba jeneza liliobeba mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Hayati, Samwel Sitta wakipita mbele ya Askari maalum kwa ajili ya kutoa heshima na baadaye kupakia jeneza hilo tayari kwa safari ya kuelekea nyumbani kwa marehemu leo Jijini Dar es Salaam.
…………………………………………………………….
Na: Frank Shija, MAELEZO
PICHA MOJA BORA KUTOKA BUNGENI LEO
 Wanafunzi wa Shule ya ADC NARCO ya wailayani Kongwa wakiwa bungeni Dododma kuona mwenendo wa bunge hilo Linaloendelea Mjini Dodoma ukuwa ni utaratibu wa taasisi mbalimbali na mashule kuwapeka wanafunzi kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na jinsi bunge hilo linavyoendeshwa

MOTO MKUBWA WATEKETEZA BOHARI LA KAMPUNI YA 7 GENERAL ENTERPRISES MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM



Hivi ndivyo moto mkubwa ulivyokuwa ukiwaka katika Bohari la 7 General Enterprises ambapo walikuwa wakihifadhia Mataili, mchana eneo la Mikocheni Jijini Dar es salaam.
Vikosi mbalimbali vya zima moto kutoka Serikali na Makampuni binafsi wakiendelea

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni