MKEMIAMKUU profesa SAMSON MANYERE |
MKEMIA
Mkuu wa Serikali Samweli Manyele amewataka wafanyabishara ya kemikali nchini
kuwa makini katika usafirishaji wa kemikali hizo kabla hazijaleta madhara
makubwa .
Akizungumza
katika mkutano uliowakutanisha wadau wanotumia kemikali hizo ikiwemo
wafanyabishara katika taasisi mbalimbali zinazo jihusisha nausafirishaji
namatumizi ya kemikali mapema hii leo jijini Dar es salaam profesa Manyele
amesema kuwa kumekuwepo na ajali nyingi zinazohusiana kemikali zinatokana
nakutokuwa na uelewa juu yamadhara yakemikali hizo .
''kemikali
nyingiz zimekua zikiletamadhara makubwa kwa watumiaji ,hali hii inachangiwa na
wafanyabishara wabidhaa hizo kutokuwa na uelewa wanamna yausafirishaji
nauhifadhi wakemikali hizo ''Alisema Mkemia mkuu Manyele.
Manyele
alisema kuwa mojaya changamoto kubwa zilizopo kwenye matumizi yakemikali
nibaadhi yawananchi kutumia kemikaliambazo zinaasili yakulipuka nakuleta madahara.
Alisema
kuwa mojamatumizi mabaya yakemikli watu wengi wamekuwa wakitumia tindikali
katika kudhulu watu ,hali inayopelekea taasisi hiyo kuandaa mafunzo namna
yauhifadhi na usafirishaji nakuleta madhara kutokana na kutotumiwa kwa matumizi
stahiki .
''sisi
kama taasisi yaserikali inyojihusisha nakemikali tunaowajibu wa kuwalinda
wananchi namadhara yakemikali hatarishi ,serikali kwakulitambua hilo serikali
imetunga sheria yauthibiti wamatumizi ya kemikali ijulikanayo ICCA(2003)inatoaangalizo
kali juu yamatumizi holela yakemikali ''Aliongeza Manyele.
Katika
hatua nyingine moja yawafanyabishara wa kemikali nchini kutoka kampuni Afri
lulu Anton Gullera amesema wafanyabishara kemikali watafuata muongozo wataasisi
hiyo juu yamatumizi kemikali hizo.
Gullera
alisema kuwa kufuatia serikali kutoa muongozo juu yamatumizi ya uhifadhi wa
kemikali ameiomba serikali kuweza kusajili makampuni yanayojihusisha nabiashara
hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni