Jumatano, 20 Aprili 2016

LUGUMI AKANUSHA MADAI YALIYOTOLEWA NA MAGAZETI .

Mkurugenzi wa LUGUMI Enterprisis Said LUGUMI




Timothy Marko.
WAKATI nchi nzima ikizizima kwa sakata la lugumienterpriseskwa kutumia jina la baadhi yaviongozi  wa serikali kujinufaisha katika tenda iliyohusisha jeshi lapolisi na wizara ya mambo yandani Mmliki wa kampuni hiyoSaid Lugumi  amekanusha madai hayo kuwa hayana ukweli wowote dhidi yake .

Akizungumza na waandishi wa habari katika tarifayake aliyoitoa kwa vyombo vya habari mapema jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa LUGUMI Enterprisis Said LUGUMI amesema kuwa jeshi lapolisi lilingia mkataba  nakampuni yake kwajili yakufunga mitambo yautambuzi wa alama za vidoleAFIS kwamujibu wa matakwa yajeshi lapolisinchini katika vituo vya jeshi hilo katika mikoa ya Tanzania bara navisiwani .

''Kwamujibu wakampuni yetu kumkukumbu zinaonesha kuwa mkataba huu ulitekelezwa nasi pamoja nawabia wetu katika kuhakikisha mkataba huo unatekelezwa ipasavyo kwa mujibu wamkataba ,kulikuwa kunamgogoro katika utekelezaji wamkataba,upande usioridhika nautekelezaji utatangaza mgogoro na mwanasdheria mkuu na wala si jshi lapolisi kama ilivyoripotiwa nabaadhi yavyombo vya habari ,hivyo  basi sijeshi la polisi wala upande mwingine uliotangaza mgogoro ''Alisema  ilisema tarifa hiyo .

Taarifa za kuondoka nje ya nchi kwamtendaji wakampuni hiyo sikweli iliongeza taarifahiyo iliyosomwa na JUMA SABURY ambaye nimfanyakazi katika kampuni hiyo nakueleza kuwa tuhuma za kutoroka kwa mtendaji huyo navyombo vya habari sio hiki zimetungwa nakuwa mkurugenzi huyo anaendelea nashuguli zake .


















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni