Mkurugenzi wakituo cha sheria nahaki za bindamu Bi.HELLEN KIJO BISIMBA |
Timothy Marko.
KITUO cha sheria nahaki za binadamu nchini (LHRC)Kimezindua ripoti ya hali na mwenendo wahaki za binadamu nchini ambapo ripoti yakituo hicho imebaini kuwa kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wahaki za binadamu ikiwemo haki ya kuishi.
Kwamujibu wa ripoti hiyo iliyozinduliwa na jaji mfawidhi wa mahakama ya mwanza Robert Makaramba ilibainishakuwa mahakama nchini zimekuwa zikiendelea kutoa adhabu yakifo japokuwa haki yakuishi imeanishwa katika katiba yajamuhuri wa muungano ya mwaka 1977.
''Katika mwaka 2015 jumla ywatuhumiwa 472 walihukumiwa adhabu yakifo ambapo nizaidi yawatu 62 waliohukumiwa katikakipindi chamwaka2014 kati yahao watuhumiwa walihukumiwa adhabu yakifo wanaume 452 wanawake 20 adhabu yakifo inakiuka haki yakuishi ''Ilisema Ripoti hiyo .
Ripoti hiyo ilisemakuwa maoni kuhusiana naadhabu yakifo yamekuwa yakigawanyika huku mashambulizi yawatu wenye ulemavu wangozi Albino yamekuwa yakisababisha watu wengi kutoa maoni kuhusiana na adhabu hiyo .
Ilibainisha kuwa matukio ya kujichukulia sheria mkononi yamekuwa yakiongezeka katikakipindi cha mwakajuzi ikilinganishwa nakipindi chamwaka jana ambapo matukio 997 yalitokea ikilinganishwa na matukio 785 yaliweza kutokea katika kipindicha mwaka2015 .
''Taarifa kutoka kwenye vyombo vya dola vilibainishakuwa kumekuwa na maongezeko yavitendo vya mauaji katika mikoa ya simiyu,Dar es salam pamoja na njombe ''Iliongeza Ripoti hiyo .
Ripotihiyo ilingeza kuwa mbali nakuwepo kwavitendo vya mauaji katika mikoa hiyo piaripotihiyo ilibainisha watu wengi zaidi waliweza kupoteza maisha yao kutokana na ajari za barabarani ikiwemo bodaboda ambapo jumla yawatu 2,626 walipoteza maisha kutokana naajali hizo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni